Seli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Muundo wa seli: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|es}} (5) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
* [[utando wa seli]] (ganda la nje) na
* [[utando wa seli]] (ganda la nje) na
* [[Utegili (seli)|utegili]] unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama [[ribosomu]] au [[dutuvuo]] (mitokondria), .
* [[Utegili (seli)|utegili]] unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama [[ribosomu]] au [[dutuvuo]] (mitokondria), .

== Aina za seli ==
Kuna aina kuu mbili za seli, nazo ni
* '''Seli ya mnyama''' ni aina ya seli ambazo zinapatikana kwenye miili ya [[wanyama]] wote kama vile Binadamu n.k.
* '''Seli ya mmea''' ni aina ya seli zinazopatikana kwenye [[mimea]] yote kama vile Miti n.k.

Licha ya kuwa katika sehemu tofauti za [[viumbe hai]], seli hizi zinafanana baadhi ya vitu na kutofautiana pia. Baadhi ya vitu ambavyo vipo kwenye seli ya mnyama na seli ya mmea ni pamoja na:
*Zote zina kiini cha seli
*Zote zina utando wa seli
*Zote zina utegili

Tofauti kati ya seli ya [[mnyama]] na seli ya [[mmea]] ni pamoja na:





Pitio la 12:46, 26 Septemba 2015

Seli za ngozi ya mtu chini ya hadubini

Seli (kutoka Kilatini cellula = chumba kidogo) ni chumba kidogo ndani ya mwili wa binadamu, wanyama na mimea. Mwili wote wa kila kiumbehai hufanywa na seli. Viumbehai vidogo sana kama bakteria huwa na seli moja tu. Mwili wa mwanadamu huwa na seli trilioni 100 au 1014. Kila yai ni seli moja hivyo seli kubwa duniani ni yai la mbuni. Seli za kawaida ni ndogo sana hutazamiwa kwa kutumia hadubini.

Muundo wa seli

Seli zinatofautiana kisasi kati ya doeni za viumbehai. Bakteria na archaea huwa na seli za mfuto lakini seli za eukaryota zina vitu ndani zao.

Kimsingi seli za eukaryota huwa na

Aina za seli

Kuna aina kuu mbili za seli, nazo ni

  • Seli ya mnyama ni aina ya seli ambazo zinapatikana kwenye miili ya wanyama wote kama vile Binadamu n.k.
  • Seli ya mmea ni aina ya seli zinazopatikana kwenye mimea yote kama vile Miti n.k.

Licha ya kuwa katika sehemu tofauti za viumbe hai, seli hizi zinafanana baadhi ya vitu na kutofautiana pia. Baadhi ya vitu ambavyo vipo kwenye seli ya mnyama na seli ya mmea ni pamoja na:

  • Zote zina kiini cha seli
  • Zote zina utando wa seli
  • Zote zina utegili

Tofauti kati ya seli ya mnyama na seli ya mmea ni pamoja na:


Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.