Masokwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Masahihisho
Mstari 13: Mstari 13:
| oda_ya_chini = [[Simiiformes]] (Wanyama kama kima)
| oda_ya_chini = [[Simiiformes]] (Wanyama kama kima)
| oda_ndogo = [[Catarrhini]] (Kima wa Dunia ya Kale)
| oda_ndogo = [[Catarrhini]] (Kima wa Dunia ya Kale)
| familia_ya_juu = [[Hominoidea]] ([[Sokwe (Hominoidea)|Masokwe)]])
| familia_ya_juu = [[Sokwe (Hominoidea)|Hominoidea]] (Masokwe))
| subdivision = '''Familia 2:'''
| familia = [[Hominidae]]<br />
* [[Hominidae]] (Masokwe wakubwa)
[[Hylobatidae]]
* [[Hylobatidae]] (Masokwe wadogo)
}}
}}
'''Masokwe''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia ya juu]] [[Hominoidea]]. Kuna [[familia (biolojia)|familia]] mbili za masokwe: [[Hylobatidae]] ([[sokwe mdogo|masokwe wadogo]] au [[giboni]]) na [[Hominidae]] ([[sokwe mkubwa|masokwe wakubwa]] na [[binadamu]]). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[tropiki]] ya [[Asia]]. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, [[orangutanu]] muda kidogo tu na [[ngagi]] muda mrefu sana. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]] lakini orangutanu wanatokea [[Asia]] ya Mashariki.
'''Masokwe''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia ya juu]] [[Hominoidea]]. Kuna [[familia (biolojia)|familia]] mbili za masokwe: [[Hylobatidae]] ([[sokwe mdogo|masokwe wadogo]] au [[giboni]]) na [[Hominidae]] ([[sokwe mkubwa|masokwe wakubwa]] na [[binadamu]]). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[tropiki]] ya [[Asia]]. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, [[orangutanu]] muda kidogo tu na [[ngagi]] muda mrefu sana. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]] lakini orangutanu wanatokea [[Asia]] ya Mashariki.
Mstari 21: Mstari 22:
== [[Uainishaji]] ==
== [[Uainishaji]] ==
Familia ya juu [[Sokwe (Hominoidea)|Hominoidea]]
Familia ya juu [[Sokwe (Hominoidea)|Hominoidea]]
*Familia [[Giboni|Hylobatidae]] (Giboni)
* Familia [[Hylobatidae]] (Masokwe wadogo)
**[[Hylobates]]
** Jenasi ''[[Hylobates]]'' ([[w:Hylobates|Hylobates]])
**[[Hoolock]]
** Jenasi ''[[Hoolock]]'' ([[w:Hoolock gibbon|Hoolock gibbon]])
** Jenasi ''[[Nomascus]]'' ([[w:Nomascus|Nomascus]])
**[[Symphalangus]]
** Jenasi ''[[Symphalangus]]'' ([[w:Siamang|Siamang]])
**[[Nomascus]]
* Familia [[Sokwe (Hominidae)|Hominidae]]
* Familia [[Hominidae]] (Masokwe wakubwa)
** ''Ponginae'' ([[w:Ponginae]])
** Nusufamilia [[Ponginae]]
*** [[Orangutanu]], ''Pongo abelii''
*** Jenasi ''[[Pongo]]'' (Orangutanu)
** Nusufamilia [[Homininae]]
**** [[Orangutanu wa Sumatra]], ''Pongo abelii'' ([[w:Sumatran Orangutan|Sumatran Orangutan]])
*** Kabila [[Gorillini]]
**** [[Orangutanu wa Borneo]], ''Pongo pygmaeus'' ([[w:Bornean Orangutan|Bornean Orangutan]])
**** Jenasi ''[[Gorilla]]'' (Ngagi)
** ''Homininae'' ([[w:Homininae]])
*** ''[[Ngagi|Gorillini]]''
*** Kabila [[Hominini]]
**** [[Ngagi]], ''Gorilla''
**** Jenasi ''[[Pan]]'' (Sokwe mtu)
**** Jenasi ''[[Homo]]'' (Binadamu na jamaa)
***** [[Ngagi Mashariki]] au Gorila Mashariki, ''Gorilla beringei'' ([[w:Eastern Gorilla|Eastern Gorilla]])
****** [[Ngagi-milima]], ''Gorilla b. beringei'' ([[w:Mountain Gorilla|Mountain Gorilla]]: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda na Uganda)
****** [[Ngagi wa Uwanda wa Chini Mashariki]], ''Gorilla b. graueri'' ([[w:Eastern Lowland Gorilla|Eastern Lowland Gorilla]]: Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo)
***** [[Ngagi Magharibi]] au Gorila Magharibi, ''Gorilla gorilla'' ([[w:Western Gorilla|Western Gorilla]])
****** [[Ngagi wa Nijeria]], ''Gorilla g. diehli'' ([[w:Cross River Gorilla|Cross River Gorilla]]: Nijeria na Kameruni)
****** [[Ngagi wa Uwanda wa Chini Magharibi]], ''Gorilla g. gorilla'' ([[w:Western Lowland Gorilla|Western Lowland Gorilla]]: Kameruni, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Gaboni, Ginekweta, Kongo, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo na [[Angola]])
*** ''Hominini'' ([[w:Hominini]])
**** [[Sokwe Mtu]], ''Pan''
***** [[Bonobo|Bonobo au Sokwe Mtu Mdogo]], ''Pan paniscus'' ([[w:Bonobo|Bonobo]] au Pygmy Chimpanzee: [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]])
***** [[Sokwe Mtu wa Kawaida]], ''Pan troglodytes'' ([[w:Common Chimpanzee|Common Chimpanzee]])
****** [[Sokwe Mtu Mashariki]], ''Pan t. schweinfurthii'' ([[w:Eastern Chimpanzee|Eastern Chimpanzee]]: [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]], [[Sudani]], Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, [[Uganda]], [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Tanzania]] na [[Zambia]])
****** [[Sokwe Mtu wa Kati]], ''Pan t. troglodytes'' ([[w:Central Chimpanzee|Central Chimpanzee]]: [[Kameruni]], Jamhuri ya Afrika ya Kati, [[Ginekweta]], [[Gaboni]], [[Kongo]] na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo)
****** [[Sokwe Mtu wa Nijeria]], ''Pan t. vellerosus'' ([[w:Nigerian Chimpanzee|Nigerian Chimpanzee]]: [[Nijeria]] na Kameruni)
****** [[Sokwe Mtu Magharibi]], ''Pan t. verus'' ([[w:Western Chimpanzee|Western Chimpanzee]]: [[Senegali]], [[Mali]], [[Gine]], [[Sierra Leone]], [[Liberia]], [[Kodivaa]] na [[Ghana]])
**** [[Homo]]
***** [[Binadamu]], ''Homo sapiens''


== Picha ==
== Picha ==

Pitio la 17:00, 25 Septemba 2015

Sokwe
Sokwe Mtu
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe))
Ngazi za chini

Familia 2:

Masokwe ni wanyama wa familia ya juu Hominoidea. Kuna familia mbili za masokwe: Hylobatidae (masokwe wadogo au giboni) na Hominidae (masokwe wakubwa na binadamu). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea misitu ya tropiki ya Asia. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, orangutanu muda kidogo tu na ngagi muda mrefu sana. Takriban spishi zote zinatokea Afrika lakini orangutanu wanatokea Asia ya Mashariki.

Uainishaji

Familia ya juu Hominoidea

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.