Masokwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 41: Mstari 41:
****** [[Ngagi wa Uwanda wa Chini Magharibi]], ''Gorilla g. gorilla'' ([[w:Western Lowland Gorilla|Western Lowland Gorilla]]: Kameruni, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Gaboni, Ginekweta, Kongo, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo na [[Angola]])

*** ''Hominini'' ([[w:Hominini]])
*** ''Hominini'' ([[w:Hominini]])
**** [[Sokwe Mtu]], ''Pan'' ([[w:Chimpanzee|Chimpanzee]])
**** [[Sokwe Mtu]], ''Pan''
***** [[Bonobo|Bonobo au Sokwe Mtu Mdogo]], ''Pan paniscus'' ([[w:Bonobo|Bonobo]] au Pygmy Chimpanzee: [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]])
***** [[Bonobo|Bonobo au Sokwe Mtu Mdogo]], ''Pan paniscus'' ([[w:Bonobo|Bonobo]] au Pygmy Chimpanzee: [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]])
***** [[Sokwe Mtu wa Kawaida]], ''Pan troglodytes'' ([[w:Common Chimpanzee|Common Chimpanzee]])
***** [[Sokwe Mtu wa Kawaida]], ''Pan troglodytes'' ([[w:Common Chimpanzee|Common Chimpanzee]])

Pitio la 11:55, 24 Septemba 2015

Sokwe
Sokwe mtu
Sokwe mtu
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe))
Familia: Hominidae

Hylobatidae

Masokwe ni wanyama wa familia ya juu Hominoidea. Kuna familia mbili za masokwe: Hylobatidae (masokwe wadogo au giboni) na Hominidae (masokwe wakubwa na binadamu). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea misitu ya tropiki ya Asia. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, orangutanu muda kidogo tu na ngagi muda mrefu sana. Takriban spishi zote zinatokea Afrika lakini orangutanu wanatokea Asia ya Mashariki.

Uainishaji

Familia ya juu Hominoidea

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.