Shinyanga (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17: Mstari 17:


}}
}}
'''Shinyanga''' ni [[manisipaa]] nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Shinyanga]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 135,166 <ref>[http://web.archive.org/web/20030503125102/http://www.tanzania.go.tz/census/districts/shinyangaurban.htm Tanzania.go.tz/census/districts/shinyangaurban]</ref>.
'''Shinyanga''' ni [[manisipaa]] nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Shinyanga]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 161,391
<ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Shinyanga Municipal Council]</ref> .


Manisipaa ya Shinyanga ni sawa na Wilaya ya Shinyanga Mjini.
Manisipaa ya Shinyanga ni sawa na Wilaya ya Shinyanga Mjini.

Manispaa ya Shinyanga ina eneo la 548 [[km²]]. Eneo la utawala linaundwa na jumla ya tarafa 3, kata 17,vijiji 19, mitaa 25 na vitongoji 95.

Hali ya hewa ni ya kitropiki ambayo ina vipindi viwili ya majira ya mvua na kiangazi. Msimu wa mvua ni kati ya mwezi Oktoba na Desemba,pia huanza mwezi machi hadi Mei. Kiasi cha mvua kwa mwaka ni kati ya milimita 600 hadi 1000. Kiangazi huanza mwezi Mei hadi Oktoba, pia huanza Januari hadi Februari. Wastani wa jotoridi ni kati ya nyuzi za sentigredi 18 hadi 31.<ref>Maelezo kuhusu hali ya hewa kutoka tovuti ya manisipaa , ilitazamiwa Septemba 2015</ref>


==Marejeo==
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{marejeo}}

==Viungo vya Nje==
*[http://www.shinyangamc.go.tz/en/ Tovuti rasmi ya Manisipaa ya Shinyanga]]
*[http://www.mof.go.tz/mofdocs/budget/Budget%20Books/2011_2012/Recurrent%20Budget/Vote%2083.pdf Makisio ya Halmashauri ya manisipaa ya Shinyanga kwa mwaka 2011-12]


{{mbegu-jio-shinyanga}}
{{mbegu-jio-shinyanga}}

Pitio la 17:00, 19 Septemba 2015


Manisipaa ya Shinyanga
Manisipaa ya Shinyanga is located in Tanzania
Manisipaa ya Shinyanga
Manisipaa ya Shinyanga

Mahali pa mji wa Shinyanga katika Tanzania

Majiranukta: 3°39′36″S 33°25′12″E / 3.66000°S 33.42000°E / -3.66000; 33.42000
Nchi Tanzania
Mkoa Shinyanga
Wilaya Shinyanga Mjini

Shinyanga ni manisipaa nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Shinyanga. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 161,391

[1] .

Manisipaa ya Shinyanga ni sawa na Wilaya ya Shinyanga Mjini.

Manispaa ya Shinyanga ina eneo la 548 km². Eneo la utawala linaundwa na jumla ya tarafa 3, kata 17,vijiji 19, mitaa 25 na vitongoji 95.

Hali ya hewa ni ya kitropiki ambayo ina vipindi viwili ya majira ya mvua na kiangazi. Msimu wa mvua ni kati ya mwezi Oktoba na Desemba,pia huanza mwezi machi hadi Mei. Kiasi cha mvua kwa mwaka ni kati ya milimita 600 hadi 1000. Kiangazi huanza mwezi Mei hadi Oktoba, pia huanza Januari hadi Februari. Wastani wa jotoridi ni kati ya nyuzi za sentigredi 18 hadi 31.[2]

Marejeo

  1. Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Shinyanga Municipal Council
  2. Maelezo kuhusu hali ya hewa kutoka tovuti ya manisipaa , ilitazamiwa Septemba 2015

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shinyanga (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Kata za Wilaya ya Shinyanga mjini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania

Chamaguha | Chibe | Ibadakuli | Ibinzamata | Kambarage | Kitangili | Kizumbi | Kolandoto | Lubaga | Masekelo | Mjini | Mwamalili | Mwawaza | Ndala | Ndembezi | Ngokolo | Old Shinyanga