Manispaa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Manisipaa''' (ing. ''municipality'') ni mji mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake.
'''Manisipaa''' (ing. ''municipality'') ni [[mji]] mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake.

Madaraka haya ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya kimahali iliyochaguliwa na watu wa manisipaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu), kuamulia na kukusanya kodi fulani katika eneo la manisipaa na kupanga makisio yake yenyewe.

Pitio la 16:42, 19 Septemba 2015

Manisipaa (ing. municipality) ni mji mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake.

Madaraka haya ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya kimahali iliyochaguliwa na watu wa manisipaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu), kuamulia na kukusanya kodi fulani katika eneo la manisipaa na kupanga makisio yake yenyewe.

Manisipaa za Tanzania

Nchini Tanzania manisipaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.

Katika muundo wa utawala manisipaa za Tanzania zinahesabiwa kama wilaya. Serikali ya manisipaa huitwa Halmashauri ya manisipaa (Municipal Council).

Manisipaa za Tanzania ni Bukoba , Dodoma , Iringa , Kigoma , Lindi , Morogoro , Moshi , Mtwara , Musoma , Shinyanga , Singida , Songea , Sumbawanga , Tabora .

Halafu kuna masisipaa tano ambazo ni sehemu ya majiji mawili.