Tofauti kati ya marekesbisho "Atomu"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Kuna aina nyingi za atomi na idadi za aina hizi tofauti ni sawa na [[elementi]] zilizopo [[duniani]].
 
==Muundo wa atomi==
Lakini atomi yenyewe hufanywa na vyembe vidogo zaidi hasa sehemu 3 ambazo ni: [[protoni]], [[neutroni]] na [[elektroni]]. Sehemu hizi ndogo zaidi hazina tabia ya elementi fulani ila tu atomi yote ni elementi. Atomi zinatofautiana kutokana na idadi tofauti ya vyembe hivi vidogo ndani yao.
 
Kiini huzungukwa na ganda ambalo ni si dutu imara lakini nafasi ya njia ambako electron huzunguka kiini. Nafasi hizi huitwa [[duara ya elektroni]]. Kielezo hiki kimekuwa msingi wa vielelezo vingine kama kile cha Bohr.
 
Kiini huitwa kwa [[lugha]] ya [[Kilatini]] (pia kwa [[Kiingereza]]) "nucleus" na hapa lugha ya Kiswahili imepokea neno "nyuklia". "Nucleas" kwa ajili ya mambo yanayohusu matumizi ya nguvu ya atomi, kwa mfano [[nishati ya nyuklia]].
 
==Chaji na ioni==
Kwa jumla chaji hizo husawazishana na atomi yote ni batili yaani haionyeshi chaji maalumu.
 
Atomi inaweza kuingia katika hali ya kuwa na chaji kama elektroni moja inaongezwa au kuondolewa katika ganda lake halafu atomi hiyo huitwa "[[ioni]]".
 
Kama idadi ya elektroni imepungua chini ya kiwango cha kawaida atomi yote ina chaji chanya na kuitwa "[[kationi](CATION)]". Kama elektroni imeongezwa chaji ya atomi yote huwa hasi na kuitwa "[[anioni](ANIONS)]".
 
==Njia za elektroni==
Kufuatana na kielezo cha [[Niels Bohr]] kiini huzungukwa na [[mizingo elektroni]] mbalimbali kama kitunguu. Idadi ya mizingo hutegemeana na idadi ya elektroni au ukubwa wa atomi kwa jumla.
 
Ukubwa wa atomi yote hutegemeana na umbali wa mzingo elektroni wa nje. Ieleweke ya kwamba mizingo hii yote si dutu au mada lakini nafasi ambako elektroni zazungukazinazunguka kiini kwa mkasi mkubwa.
 
== Tovuti za nje ==

Urambazaji