Atomu : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
[[Picha:Atom.png|thumb|Mfumo wa atomi kwa mfano wa atomi ya [[Heli]]: [[Elektroni]] mbili (njano) kwenye mzingo wa atomi huzunguka [[kiini cha atomi]] chenye [[Protoni]] mbili (nyekundu) na [[Neutroni]] mbili (kijani).]]
'''Atomi''' (
Kuna aina nyingi za atomi na idadi za aina hizi tofauti ni sawa na [[elementi]] zilizopo [[duniani]].
atom imegawanyika katika sub atomic 3 ambazo ni proton,electron na neutron.Lakini atomi yenyewe hufanywa na vyembe vidogo zaidi hasa [protoni], [neutroni] na[elektroni]. Sehemu hizi ndogo zaidi hazina tabia ya elementi fulani ila tu atomi yote ni elementi. Atomi zinatofautiana kutokana na idadi tofauti ya vyembe hivi vidogo ndani yao.▼
▲
Atomi ni ndogo kiasi ya kwamba hazionekani. Kwa sababu hiyo wataalamu waliunda vielelezo mbalimbali vinavyojaribu kuunganisha tabia mbalimbali za atomi zinazopimiwa.▼
▲Atomi ni ndogo kiasi ya kwamba hazionekani kwa [[macho]] wala kwa [[hadubini]] za kawaida. Kwa sababu hiyo wataalamu waliunda vielelezo mbalimbali vinavyojaribu kuunganisha tabia mbalimbali za atomi zinazopimiwa.
Kielelezo cha [[Ernest Rutherford]] kinasema ya kwamba kwamba katikati ya atomi kuna kiini chenye sehemu kubwa ya maada ya atomi yote.[Kiini cha atomi] hufanywa na [protoni] na [neutroni].Atomi za elementi ileile zinaweza kutofautiana katika idadi ya neutron ndani ya kiini na hali hizi tofauti huitwa [ISOTOPY] za elementi. Isotopy tofauti ya elementi moja zinapangwa kwenye nafasi ileile ya [jedwali la elementi]. Isotopy kadhaa si thabiti lakini [nururifu] yaani zinaweza kutoa vyembe au nururisho na kuhamia elementi nyingine.▼
▲Kielelezo cha [[Ernest Rutherford]] kinasema
Kiini huzungukwa na ganda ambalo ni si dutu imara lakini nafasi ya njia ambako electron huzunguka kiini. Nafasi hizi huitwa [cicumference of electroni]. Kielezo hiki kimekuwa msingi wa vielelezo vingine kama kile cha Bohr.▼
▲Kiini huzungukwa na ganda ambalo ni si dutu imara lakini nafasi ya njia ambako electron huzunguka kiini. Nafasi hizi huitwa [
Kiini huitwa kwa lugha ya [Kilatini] (pia kwa Kiingereza) "nucleus" na hapa lugha ya Kiswahili imepokea neno "nyuklia"."Nucleas" kwa ajili ya mambo yanayohusu matumizi ya nguvu ya atomi, kwa mfano [nishati ya nyuklia].▼
▲Kiini huitwa kwa [[lugha]] ya [Kilatini] (pia kwa [[Kiingereza]]) "nucleus" na hapa lugha ya Kiswahili imepokea neno "nyuklia". "Nucleas" kwa ajili ya mambo yanayohusu matumizi ya nguvu ya atomi, kwa mfano [nishati ya nyuklia].
Chaji na ioni(CHARGE AND IONS)▼
Protoni zina chaji ya chanya, neutroni hazina chaji na elektroni zina chaji ya hasi. Kiini inafanywa na protoni zenye chaji chanya pamoja na neutroni zisizo na chaji hivyo kiini cha kila atomi kina chaji chanya. Elektroni zenye chaji hasi zinazunguka kiini.
Kwa jumla chaji hizo husawazishana na atomi yote ni batili yaani haionyeshi chaji maalumu.
Atomi inaweza kuingia katika hali ya kuwa na chaji kama elektroni moja inaongezwa au kuondolewa katika ganda lake halafu atomi hiyo huitwa "[ioni]".
Kama idadi ya elektroni imepungua chini ya kiwango cha kawaida atomi yote ina chaji chanya na kuitwa "[kationi](CATION)". Kama elektroni imeongezwa chaji ya atomi yote huwa hasi na kuitwa "[[anioni](ANIONS)".
==Njia za
Kufuatana na kielezo cha [[Niels Bohr]] kiini huzungukwa na [[mizingo elektroni]] mbalimbali kama kitunguu. Idadi ya mizingo hutegemeana na idadi ya elektroni au ukubwa wa atomi kwa jumla.
Ukubwa wa atomi yote hutegemeana na umbali wa mzingo elektroni wa nje. Ieleweke ya kwamba mizingo hii yote si dutu au mada lakini nafasi ambako elektroni zazunguka kiini kwa mkasi mkubwa.
== Tovuti za
* [http://web.jjay.cuny.edu/~acarpi/NSC/3-atoms.htm General information on atomic structure]
* [http://www.watertown.k12.wi.us/HS/Staff/Buescher/atomtime.asp Atomic structure timeline]
[[Jamii:Kemia]]
[[Jamii:Fizikia]]
[[jamii:
|