Tofauti kati ya marekesbisho "Atomu"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[Picha:Atom.png|thumb|Mfumo wa atomi kwa mfano wa atomi ya [[Heli]]: [[Elektroni]] mbili (njano) kwenye mzingo wa atomi huzunguka [[kiini cha atomi]] chenye [[Protoni]] mbili (nyekundu) na [[Neutroni]] mbili (kijani).]]
 
'''Atomi''' (pia: ''huitwa 'atomu''' kwa kiswahili; kutoka [[kigiriki]] ''átomos''means "indivisible") ni sehemu ndogo ya [[maada]] yenye tabia ya kikemia kama [[elementi]]. Kila kitu duniani hujengwa kwa atomi. Atomi ni ndogo kiasi ya kwamba hazionekani kwa macho hata hazionekani kwa [hadubini] za kawaida. Kuna aina nyingi za atomi na idadi za aina hizi tofauti ni sawa na elementi zilizopo duniani.
 
atom imegawanyika katika sub atomic 3 ambazo ni proton,elecronelectron na neutron.Lakini atomi yenyewe hufanywa na vyembe vidogo zaidi hasa [protoni], [neutroni] na[elektroni]. Sehemu hizi ndogo zaidi hazina tabia ya elementi fulani ila tu atomi yote ni elementi. Atomi zinatofautiana kutokana na idadi tofauti ya vyembe hivi vidogo ndani yao.
 
Atomi ni ndogo kiasi ya kwamba hazionekani. Kwa sababu hiyo wataalamu waliunda vielelezo mbalimbali vinavyojaribu kuunganisha tabia mbalimbali za atomi zinazopimiwa.
Kiini huzungukwa na ganda ambalo ni si dutu imara lakini nafasi ya njia ambako electron huzunguka kiini. Nafasi hizi huitwa [cicumference of electroni]. Kielezo hiki kimekuwa msingi wa vielelezo vingine kama kile cha Bohr.
 
Kiini huitwa kwa lugha ya [Kilatini] (pia kwa Kiingereza) "nucleus" na hapa lugha ya Kiswahili imepokea neno "nyuklia"."Nucleas" kwa ajili ya mambo yanayohusu matumizi ya nguvu ya atomi, kwa mfano [[nishati ya nyuklia]].
 
== Chaji na ioni ==
Protoni zina chaji ya chanja, neutroni hazina chaji na elektroni zina chaji ya hasi. Kiini inafanywa na protoni zenye chaji chanja pamoja na neutroni zisizo na chaji hivyo kiini cha kila atomi kina chaji chanja. Elektroni zenye chaji hasi zazunguka kiini.
 
== Chaji na ioni(CHARGE AND ==IONS)
Protoni zina chaji ya chanjachanya, neutroni hazina chaji na elektroni zina chaji ya hasi. Kiini inafanywa na protoni zenye chaji chanjachanya pamoja na neutroni zisizo na chaji hivyo kiini cha kila atomi kina chaji chanjachanya. Elektroni zenye chaji hasi zazungukazinazunguka kiini.
Kwa jumla chaji hizo husawazishana na atomi yote ni batili yaani haionyeshi chaji maalumu.
Atomi inaweza kuingia katika hali ya kuwa na chaji kama elektroni moja inaongezwa au kuondolewa katika ganda lake halafu atomi hiyo huitwa "[[ioni]]".
Kama idadi ya elektroni imepungua chini ya kiwango cha kawaida atomi yote ina chaji chanjachanya na kuitwa "[[kationi]](CATION)". Kama elektroni imeongezwa chaji ya atomi yote huwa hasi na kuitwa "[[anioni]](ANIONS)".
 
Njia za elektron
Atomi inaweza kuingia katika hali ya kuwa na chaji kama elektroni moja inaongezwa au kuondolewa katika ganda lake halafu atomi hiyo huitwa "[[ioni]]".
 
Kama idadi ya elektroni imepungua chini ya kiwango cha kawaida atomi yote ina chaji chanja na kuitwa "[[kationi]]". Kama elektroni imeongezwa chaji ya atomi yote huwa hasi na kuitwa "[[anioni]]".
 
== Njia za elektroni ==
Kufuatana na kielezo cha [[Niels Bohr]] kiini huzungukwa na [[mizingo elektroni]] mbalimbali kama kitunguu. Idadi ya mizingo hutegemeana na idadi ya elektroni au ukubwa wa atomi kwa jumla.
 
Ukubwa wa atomi yote hutegemeana na umbali wa mzingo elektroni wa nje. Ieleweke ya kwamba mizingo hii yote si dutu au mada lakini nafasi ambako elektroni zazunguka kiini kwa mkasi mkubwa.
 

Urambazaji