Bukoba (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19: Mstari 19:
'''Bukoba''' ni [[manisipaa]] katika nchi ya [[Tanzania]] ambayo ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Eneo lake liko chini ya Halmashauri ya Bukoba mjini (Bukoba Municipal Council) yenye madaraka ya [[wilaya]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 128,796<ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Bukoba Municipal Council]</ref>.
'''Bukoba''' ni [[manisipaa]] katika nchi ya [[Tanzania]] ambayo ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Eneo lake liko chini ya Halmashauri ya Bukoba mjini (Bukoba Municipal Council) yenye madaraka ya [[wilaya]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 128,796<ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Bukoba Municipal Council]</ref>.


Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni; likaendelea kuwa makao makuu ya [[mwakilishi mkazi]] Mjerumani katika falme ndogo za Karagwe, Washubi na Wahaya ambazo hazikuingizwa bado moja kwa moja katika koloni ya [[Afrika ya Kijerumani ya Mashariki]].
Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni; likaendelea kuwa makao makuu ya [[mwakilishi mkazi]] Mjerumani katika falme ndogo za Karagwe, Washubi na Wahaya ambazo hazikuingizwa bado moja kwa moja katika koloni ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 17:10, 18 Septemba 2015


Bukoba
Bukoba is located in Tanzania
Bukoba
Bukoba

Mahali pa mji wa Bukoba katika Tanzania

Majiranukta: 1°19′12″S 31°48′0″E / 1.32000°S 31.80000°E / -1.32000; 31.80000
Nchi Tanzania
Mkoa Kagera
Wilaya Bukoba Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 80,000

Bukoba ni manisipaa katika nchi ya Tanzania ambayo ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Eneo lake liko chini ya Halmashauri ya Bukoba mjini (Bukoba Municipal Council) yenye madaraka ya wilaya. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 128,796[1].

Bukoba iko kando la Ziwa Viktoria Nyanza upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni; likaendelea kuwa makao makuu ya mwakilishi mkazi Mjerumani katika falme ndogo za Karagwe, Washubi na Wahaya ambazo hazikuingizwa bado moja kwa moja katika koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Bukoba Mjini - Mkoa wa Kagera - Tanzania

Bakoba | Bilele | Buhembe | Hamugembe | Ijuganyondo | Kagondo | Kahororo | Kashai | Kibeta | Kitendaguro | Miembeni | Nshambya | Nyanga | Rwamishenye


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bukoba (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.