Mauritania : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1025 (translate me)
No edit summary
Mstari 12: Mstari 12:
|latd=18 |latm=09 |latNS=N |longd=15 |longm=58 |longEW=W
|latd=18 |latm=09 |latNS=N |longd=15 |longm=58 |longEW=W
|largest_city = [[Nouakchott]]
|largest_city = [[Nouakchott]]
|government_type = [[Jamhuri]], [[serikali ya kiraisi]]
|government_type = [[Jamhuri]], [[serikali ya kirais]]
|leader_titles = Rais <br />
|leader_titles = Rais <br /> [[Waziri Mkuu]]
|leader_names = [[Mohamed Ould Abdel Aziz]]
[[Waziri Mkuu]]
|area_rank = ya 29
|leader_names = [[Sidi Ould Sheikh Abdallahi]]
|area_rank = ya 28
|area_magnitude = 1 E12
|area_magnitude = 1 E12
|area = 1,030,700
|area = 1,030,700
|areami²= 397,850 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|areami²= 397,954 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|percent_water = kidogo sana
|percent_water = 0.03
|population_estimate = 3,086,859
|population_estimate = 3,086,859
|population_estimate_year = 2005
|population_estimate_year = 2005
|population_estimate_rank = 129
|population_estimate_rank = 129
|population_census = 1,864,236 [http://www.arab.de/arabinfo/maurita.htm]
|population_census = 3,537,368
|population_census_year = 1988
|population_census_year = 2013
|population_density = 2
|population_density = 3.2
|population_densitymi² =7.8 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|population_densitymi² = 8.2 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|population_density_rank = ya 187
|population_density_rank = ya 221
|Ethnic_groups =
|Ethnic_groups =
|Ethnic_groups_year =
|Ethnic_groups_year =
Mstari 54: Mstari 53:
}}
}}


'''Mauritania''' ni nchi ya [[Afrika]] kaskazini-magharibi. Upande wa magharibi ni pwani la bahari ya [[Atlantiki]], upande wa kusini imepakana na [[Senegal]], upande wa mashariki na [[Mali]] na [[Algeria]], upande wa Kaskazini na [[Sahara ya Magharibi]] inayotawaliwa na [[Moroko]]. Mji mkuu ni [[Nouakchott]]. Mji wa pili na kitovu cha uchumi ni bandari ya [[Nouadhibou]] karibu na mpaka wa Sahara Magharibi.
'''Mauritania''' ni nchi ya [[Afrika]] kaskazini-magharibi. Upande wa magharibi kuna pwani ya [[bahari]] ya [[Atlantiki]], upande wa kusini imepakana na [[Senegal]], upande wa mashariki na [[Mali]] na [[Algeria]], upande wa kaskazini na [[Sahara ya Magharibi]] inayotawaliwa na [[Moroko]].


Jina limeteuliwa kutokana na [[Mauritania (ufalme)|Mauritania ya kale]] iliyokuwa ufalme wa [[Kiberber]] kusini ya [[Mediteranea]] katika eneo la Algeria na Moroko ya leo.
Jina limeteuliwa kutokana na [[Mauritania (ufalme)|Mauritania ya kale]] iliyokuwa [[ufalme]] wa [[Waberber]] kusini kwa [[Mediteranea]] katika eneo la Algeria na Moroko ya leo.


[[Mji mkuu]] ni [[Nouakchott]]. [[Mji]] wa pili na [[kitovu]] cha [[uchumi]] ni [[bandari]] ya [[Nouadhibou]] karibu na [[mpaka]] wa Sahara Magharibi.
== Mikoa ya Mauritania ==
Mauritania ina mikoa 12 (inaitwa "''wilāyah''").


== Siasa ya Mauritania ==
== Wilaya za Mauritania ==
Mauritania ina [[wilaya]] 12 (inaitwa "''wilāyah''").
Machi 2007 wananchi walipata nafasi ya kumchagua rais mara ya kwanza katika historia ya nchi tangu uhuru. [[Sidi Ould Cheikh Abdallahi]] alishinda katika kura ya pili kwa 53% za kura zote akaapishwa 20 Aprili 2007.


{| cellpadding="5" border="0"
{| cellpadding="5" border="0"
Mstari 80: Mstari 78:
# [[Tiris Zemmour]] ([[Zouérat]])
# [[Tiris Zemmour]] ([[Zouérat]])
# [[Trarza]] ([[Rosso]])
# [[Trarza]] ([[Rosso]])
| [[Picha:Mauritania regions numbered.png|200px|Mauritaania provintside kaart]]
| [[Picha:Mauritania regions numbered.png|200px|Ramani ya wilaya za Mauritania]]
|}
|}

== Siasa ya Mauritania ==
Mnamo Machi [[2007]] wananchi walipata nafasi ya kumchagua [[rais]] mara ya kwanza katika [[historia]] ya nchi tangu [[uhuru]]. [[Sidi Ould Cheikh Abdallahi]] alishinda katika duru ya pili kwa 53% za kura zote akaapishwa tarehe [[20 Aprili]] 2007.

Hadi leo [[asilimia]] 4 za wakazi ni [[watumwa]], ingawa mwaka 2007 ilifutwa haki ya kuwamiliki.


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
* {{fr}} {{ar}} {{en}} [http://www.mauritania.mr/ Serikali ya Mauritania]
* {{fr}} {{ar}} {{en}} [http://www.mauritania.mr/ Serikali ya Mauritania]


{{Afrika}}

{{African Union}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
{{Afrika}}


[[Jamii:Mauritania| ]]
[[Jamii:Mauritania| ]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]

Pitio la 15:50, 14 Septemba 2015

Mauritania


Mauritania ni nchi ya Afrika kaskazini-magharibi. Upande wa magharibi kuna pwani ya bahari ya Atlantiki, upande wa kusini imepakana na Senegal, upande wa mashariki na Mali na Algeria, upande wa kaskazini na Sahara ya Magharibi inayotawaliwa na Moroko.

Jina limeteuliwa kutokana na Mauritania ya kale iliyokuwa ufalme wa Waberber kusini kwa Mediteranea katika eneo la Algeria na Moroko ya leo.

Mji mkuu ni Nouakchott. Mji wa pili na kitovu cha uchumi ni bandari ya Nouadhibou karibu na mpaka wa Sahara Magharibi.

Wilaya za Mauritania

Mauritania ina wilaya 12 (inaitwa "wilāyah").

  1. Adrar (Atâr)
  2. Assaba (Kifa)
  3. Brakna (Aleg)
  4. Dakhlet Nouâdhibou (Nouâdhibou)
  5. Gorgol (Kaédi)
  6. Guidimaka (Sélibabi)
  7. Hodh ech Chargui (Néma)
  8. Hodh el Gharbi (‘Ayoûn el ‘Atroûs)
  9. Inchiri (Akjoujt)
  10. Nouakchott (mji mkuu)
  11. Tagant (Tidjikja)
  12. Tiris Zemmour (Zouérat)
  13. Trarza (Rosso)
Ramani ya wilaya za Mauritania

Siasa ya Mauritania

Mnamo Machi 2007 wananchi walipata nafasi ya kumchagua rais mara ya kwanza katika historia ya nchi tangu uhuru. Sidi Ould Cheikh Abdallahi alishinda katika duru ya pili kwa 53% za kura zote akaapishwa tarehe 20 Aprili 2007.

Hadi leo asilimia 4 za wakazi ni watumwa, ingawa mwaka 2007 ilifutwa haki ya kuwamiliki.

Viungo vya nje


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mauritania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.