Rodrigues (kisiwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|300px|Visiwa vya Makarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi '''Rodrigues''' ni kisiwa cha Bahari ya Hindi...'
 
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Makarena.PNG|thumb|right|300px|Visiwa vya Makarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi]]
[[Picha:Makarena.PNG|thumb|right|300px|Visiwa vya Maskarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi.]]
'''Rodrigues''' ni [[kisiwa]] cha [[Bahari ya Hindi]]. Upande wa [[utawala]], ni sehemu ya [[Jamhuri]] ya Morisi.
'''Rodrigues''' ni [[kisiwa]] cha [[Bahari ya Hindi]]. Upande wa [[utawala]], ni sehemu ya [[Jamhuri]] ya Morisi.


Kidiwa kipo [[km]] 560 [[mashariki]] kwa Morisi yenyewe. Eneo lake ni [[km²]] 109; kuna wakazi 41,000.
Kidiwa kipo [[km]] 560 [[mashariki]] kwa Morisi yenyewe. Eneo lake ni [[km²]] 109; kuna wakazi 41,000.
Ni sehemu ya [[funguvisiwa]] ya [[Maskarena]] pamoja na [[kisiwa]] cha [[Morisi]], kisiwa cha [[Ufaransa|Kifaransa]] cha [[Réunion]] na visiwa vidogo vya [[Cargados Carajos]] na [[Agalega]].
Ki[[jiografia]] ni sehemu ya [[funguvisiwa]] ya [[Maskarena]] pamoja na [[kisiwa]] cha [[Morisi]], kisiwa cha [[Ufaransa|Kifaransa]] cha [[Réunion]] na visiwa vidogo vya [[Cargados Carajos]] na [[Agalega]].


{{mbegu-jio-Afrika}}
{{mbegu-jio-Afrika}}

Toleo la sasa la 15:04, 14 Septemba 2015

Visiwa vya Maskarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi.

Rodrigues ni kisiwa cha Bahari ya Hindi. Upande wa utawala, ni sehemu ya Jamhuri ya Morisi.

Kidiwa kipo km 560 mashariki kwa Morisi yenyewe. Eneo lake ni km² 109; kuna wakazi 41,000.

Kijiografia ni sehemu ya funguvisiwa ya Maskarena pamoja na kisiwa cha Morisi, kisiwa cha Kifaransa cha Réunion na visiwa vidogo vya Cargados Carajos na Agalega.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rodrigues (kisiwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.