Tofauti kati ya marekesbisho "Jibuti"

Jump to navigation Jump to search
746 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
 
==Historia==
Nchi ilikuwa [[koloni]] la [[Ufaransa]] kwa jina la [[Somalia ya Kifaransa]], halafu ([[1967]]) [[Eneo la Kifaransa la Waafar na la Waisa]], kutokana na majina ya ma[[kabila]] mawili makubwa zaidi ya eneo hilo.
 
Sababu ya kuanzishwa kwa koloni ilikuwa nia ya [[Ufaransa]] ya kuwa na [[bandari]] ya [[Jibuti (mji)|mji wa Jibuti]] karibu na [[Bab el Mandeb]] inayotawala [[mawasiliano]] kati ya [[Bahari Hindi]] na Bahari ya Shamu kuelekea [[Mfereji wa Suez]].
 
==Watu==
Siku hizi wakazi wengi (60%) ni [[Wasomali]], hasa wa kabila la [[Waisa]], halafu [[Waafar]] (35%). [[Asilimia]] 5 zilizobaki ni [[Waarabu]], [[Waethiopia]] na [[Wazungu]] (hasa Wafaransa na [[Waitalia]]).
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kifaransa]] na [[Kiarabu]]. [[Kisomali]] ni [[Kiafar]] ni [[lugha ya taifa|lugha za taifa]].
 
Upande wa [[dini]], [[Uislamu]] unafuatwa na 94% za wakazi na ndio [[dini rasmi]] pekee. Asilimia 6 wanafuata [[Ukristo]] katika [[madhehebu]] mbalimbali, hasa [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kutoka [[Ethiopia]] (3.2%), halafu [[Wakatoliki]] (1%) na [[Waprotestanti]] (chini ya 1%).
 
==Viungo vya nje==

Urambazaji