Wilaya ya Mkalama : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:


[[Makao makuu]] ya wilaya yako [[Nduguti]].
[[Makao makuu]] ya wilaya yako [[Nduguti]].

Wakati wa sensa ya mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na wakazi 188.733 <ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Singida - Mkalama District Council]</ref>

==Marejeo==
<references/>


{{mbegu-jio-singida}}
{{mbegu-jio-singida}}

Pitio la 20:12, 5 Septemba 2015

Mkalama ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Singida, nchini Tanzania ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Makao makuu ya wilaya yako Nduguti.

Wakati wa sensa ya mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na wakazi 188.733 [1]

Marejeo

  1. Sensa ya 2012, Singida - Mkalama District Council
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mkalama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Kata za Wilaya ya Mkalama - Mkoa wa Singida - Tanzania

Gumanga | Ibaga | Iguguno | Ilunda | Kikhonda | Kinampundu | Kinyangiri | Matongo | Miganga | Mpambala | Msingi | Mwanga | Mwangeza | Nduguti | Nkalakala | Nkinto | Tumuli