Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "[[Brussels]]" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.
Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "[[Brussels]]" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.


Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: '''[[Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000]]'''.


=Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi=
=Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi=

Pitio la 14:08, 24 Agosti 2015

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizi makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.

Hapo chini ni mada katika wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipedia kubwa zaidi na hivyo msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.

Kila mwanawikipedia anaombwa kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni makla ya jina unaweza kuanza mara moja. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.

Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "Brussels" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.

Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.

Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi

(hali ya Agosti 2015) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)

OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!

  1. acceleration * sw: mchapuko
  2. addiction * sw: addiction
  3. algorithm * sw: algorithm
  4. animation * sw: animation
  5. artificial intelligence * sw: akili bandia
  6. Capacitor * sw: kapasita
  7. circulatory system * sw: mfumo wa mzunguko wa damu
  8. classical mechanics * sw: classical mechanics
  9. complex number * sw: namba changamano
  10. conservation of energy * sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
  11. dialectic * sw: upembuzi
  12. differential equation * sw: mlinganyo tenguo
  13. electronic music * sw: muziki wa elektroniki
  14. endocrine system * sw: mfumo wa tezi
  15. function * sw: function
  16. general relativity * sw: general relativity
  17. headache * sw: maumivu ya kichwa
  18. heart attack * sw: heart attack
  19. immune system * sw: immune system
  20. inductor * sw: inductor
  21. infinity * sw: infinity
  22. information * sw: taarifa
  23. linear algebra * sw: linear algebra
  24. literacy * sw: literacy
  25. logarithm * sw: logi
  26. martial arts * sw: martial arts
  27. mathematical analysis * sw: mathematical analysis
  28. mathematical proof * sw: mathematical proof
  29. mental disorder * sw: Ugonjwa wa akili
  30. Mind * sw: Mind
  31. natural disaster * sw: natural disaster
  32. nuclear fission * sw: nuclear fission
  33. number theory * sw: number theory
  34. numerical analysis * sw: numerical analysis
  35. operating system * sw: operating system
  36. pandemic * sw: pandemic
  37. pharmaceutical drug * sw: dawa za famasia
  38. physical chemistry * sw: kemia ya fizikia
  39. programming language * sw: programming language
  40. quantum mechanics * sw: quantum mechanics
  41. reproductive system * sw: mfumo wa uzazi
  42. resistor * sw: resistor
  43. semiconductor * sw: semiconductor
  44. set theory * sw: set theory
  45. software * sw: software
  46. special relativity * sw: special relativity
  47. strong interaction * sw: strong interaction
  48. thermodynamics * sw: thermodynamics
  49. transformer * sw: transfoma
  50. transistor * sw: transista
  51. weak interaction * sw: weak interaction