Kihispania : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kihispania''' ('''"Español"''') ni lugha ya kimatifa ambacho ni lugha ya kwanza kwa milioni 500; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama lugha ya pili kuna milioni 600 duniani wanaosema Kihispania.
'''Kihispania''' ('''"Español"''') ni [[lugha ya kimatifa]] ambayo ni [[lugha ya kwanza]] kwa watu [[milioni]] 500; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama [[lugha ya pili]] kuna milioni 600 duniani wanaosema Kihispania.


Asili ya lugha ni katika nchi ya [[Hispania]] (Ulaya) lakini kutokana na historia ya [[ukoloni]] na biashara lugha imesambaa sana hasa Amerika ya Kusini.
Asili ya [[lugha]] hiyo ni katika nchi ya [[Hispania]] ([[Ulaya]]), lakini kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] na ya [[biashara]] lugha imesambaa sana, hasa [[Amerika ya Kusini]].


== Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi ==
== Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi ==
Mstari 32: Mstari 32:
* [[Visiwa vya Kanari]]
* [[Visiwa vya Kanari]]


== Nchi penye wasemaji wengi wa Kihispania ==
== Nchi zenye wasemaji wengi wa Kihispania ==
* Nchini [[Marekani]] Kihispania ni lugha ya pili baada ya [[Kiingereza]] hasa katika majimbo ya Kusini zilizikuwa zamani sehemu za Mexiko.
* Nchini [[Marekani]] Kihispania ni lugha ya pili baada ya [[Kiingereza]] hasa katika majimbo ya Kusini zilizokuwa zamani sehemu za Mexiko.
* [[Ufilipino]] kwa sababu ilikuwa koloni ya Hispania
* [[Ufilipino]] kwa sababu ilikuwa koloni la Hispania


== Historia ya lugha ==
== Historia ya lugha ==
Asili ya Kihispania ni lugha ya Kilatini ya [[Waroma wa Kale]]. Kati ya [[lugha za Kirumi]] Kishispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale.
Asili ya Kihispania ni lugha ya [[Kilatini]] ya [[Waroma wa Kale]]. Kati ya [[lugha za Kirumi]] Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa [[Kiitalia]].


[[Picha:Map-Hispano.png|600px|]]
[[Picha:Map-Hispano.png|600px|]]
Mstari 49: Mstari 49:


[[Jamii:Lugha za Kirumi]]
[[Jamii:Lugha za Kirumi]]
[[Jamii:Hispania]]

Pitio la 04:55, 23 Agosti 2015

Kihispania ("Español") ni lugha ya kimatifa ambayo ni lugha ya kwanza kwa watu milioni 500; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama lugha ya pili kuna milioni 600 duniani wanaosema Kihispania.

Asili ya lugha hiyo ni katika nchi ya Hispania (Ulaya), lakini kutokana na historia ya ukoloni na ya biashara lugha imesambaa sana, hasa Amerika ya Kusini.

Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi

Amerika ya Kati na Karibi

Amerika ya Kusini

Afrika

Nchi zenye wasemaji wengi wa Kihispania

  • Nchini Marekani Kihispania ni lugha ya pili baada ya Kiingereza hasa katika majimbo ya Kusini zilizokuwa zamani sehemu za Mexiko.
  • Ufilipino kwa sababu ilikuwa koloni la Hispania

Historia ya lugha

Asili ya Kihispania ni lugha ya Kilatini ya Waroma wa Kale. Kati ya lugha za Kirumi Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa Kiitalia.

Viungo vya nje