Kamari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|280px|[[Caravaggio, ''Wachezakarata'', mchoro wa mwaka 1594 hivi.]] '''Kamari''' ni mchezo wa [[bahati nasibu]...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:The Cardsharps.jpg|thumb|280px|[[Caravaggio]], ''[[Wachezakarata]]'', [[mchoro]] wa mwaka [[1594]] hivi.]]
[[File:The Cardsharps.jpg|thumb|280px|[[Caravaggio]], ''[[Wachezakarata]]'', [[mchoro]] wa mwaka [[1594]] hivi.]]
'''Kamari''' ni [[mchezo]] wa [[bahati nasibu]] unaohusisha [[pesa]] au [[kitu]] kingine chenye [[thamani]] kama [[tuzo]] kwa [[mshindi]]. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo la mchezo.
'''Kamari''' (kutoka [[Kiarabu]]) ni [[mchezo]] wa [[bahati nasibu]] unaohusisha [[pesa]] au [[kitu]] kingine chenye [[thamani]] kama [[tuzo]] kwa [[mshindi]]. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo la mchezo.

[[Sheria]] za nchi zinatofautiana kuhusu uhalali wake.<ref>{{cite web|url=http://www.gamblingandthelaw.com |title=Gambling and the Law®}}</ref><ref>{{cite web|last=Humphrey |first=Chuck |url=http://www.gambling-law-us.com/ |title=Gambling Law US |publisher=Gambling Law US |date= |accessdate=2012-09-22}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.gamblingcommission.gov.uk/ |title=UK Gambling Commission |publisher=Gamblingcommission.gov.uk |date= |accessdate=2012-09-22}}</ref>

Pitio la 07:59, 22 Agosti 2015

Caravaggio, Wachezakarata, mchoro wa mwaka 1594 hivi.

Kamari (kutoka Kiarabu) ni mchezo wa bahati nasibu unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo la mchezo.

Sheria za nchi zinatofautiana kuhusu uhalali wake.[1][2][3]

Hata maadili ya dini yanatofautiana.[4][5][6][7][8]

Tatizo mojawapo kubwa ni kwamba wanaoshiriki michezo hiyo wanahitaji au kutamani sana utajiri, hivyo wakishindwa wanaweza kushawishika kucheza tena na tena hadi kufilisika.

Michezo ya kamari imekuwa biashara kubwa kimataifa, ikiwa na bajeti ya dola bilioni 335 mwaka 2009.[9]

Tanbihi

  1. Gambling and the Law®.
  2. Humphrey, Chuck. Gambling Law US. Gambling Law US. Iliwekwa mnamo 2012-09-22.
  3. UK Gambling Commission. Gamblingcommission.gov.uk. Iliwekwa mnamo 2012-09-22.
  4. Bose, M. L. (1998). Social And Cultural History Of Ancient India (revised & Enlarged Edition). Concept Publishing Company. p. 179. ISBN 978-81-7022-598-0. 
  5. Berel Wein. Gambling. torah.org. Iliwekwa mnamo 20 July 2010.
  6. Kucharek, Rev. Cass (1974). To settle your conscience a layman's guide to Catholic moral theology. Our Sunday Visitor. ISBN 0-87973-877-4. 
  7. Blaise Pascal: Mathematician, Physicist and Thinker about God, Donald Adamson (1995)
  8. International Association of Gaming Regulators: Members
  9. "You bet", The Economist, 8 July 2010. 

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: