James Msekela : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
d +def using AWB
d Alifazal alihamisha ukurasa wa James Alex Msekela hadi James Msekela
(Hakuna tofauti)

Pitio la 00:55, 12 Agosti 2015

James Alex Msekela (amezaliwa 3 Septemba, 1959) ni mbunge wa jimbo la Tabora Kaskazini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

Marejeo

  1. Mengi kuhusu James Alex Msekela (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.