Wilson Masilingi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
No edit summary
d Alifazal alihamisha ukurasa wa Wilson Mutagaywa Masilingi hadi Wilson Masilingi
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:25, 11 Agosti 2015

Masilingi

Wilson Mutagaywa Masilingi (amezaliwa tar. 12 Julai 1956) ni mbunge wa jimbo la Muleba South katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

Marejeo

  1. "Mengi kuhusu Wilson Mutagaywa Masilingi". 13 Julai 2006. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.