Khalid Mohamed : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tag: Mobile edit
picha
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Khalid Mohamed (TID) at the 2015 Zanzibar International Film Festival.jpg|thumb|Khalid Mohamed aka TID, 2015]]
'''Khalid Mohamed''' (Amezaliwa [[1981]], [[Dar es Salaam]]) ni mwanamuziki wa [[Bongo Flava]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Anafahamika zaidi kama T.I.D "Top in Dar", Ameimba nyimbo nyingi maarufu tu nchini [[Tanzania]], Moja kati ya nyimbo hizo ni Mrembo, Zeze, Girl Friend, Siamini na nyingine nyingi tu alizowahi kuimba na baadae kuwa maarufu.

Pitio la 11:32, 31 Julai 2015

Khalid Mohamed aka TID, 2015

Khalid Mohamed (Amezaliwa 1981, Dar es Salaam) ni mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kama T.I.D "Top in Dar", Ameimba nyimbo nyingi maarufu tu nchini Tanzania, Moja kati ya nyimbo hizo ni Mrembo, Zeze, Girl Friend, Siamini na nyingine nyingi tu alizowahi kuimba na baadae kuwa maarufu.

Maisha ya Mwanzo

TID alizaliwa kama Khalid na ni mtoto wa mwisho katika familia yao. TID alianza elimu ya msingi 1989 hadi 1996, Na baadae kumaliza elimu ya Sekondari mwaka 2000.
Katika kipindi cha mwaka huo huo wa 2000 TID akawa anasomea masuala ya uhandishi kwa muda wa miezi minane na kuhitimu huku akichukua kozi ya Kompyuta hiyo ilikuwa jijini Dar es salaam.

Albamu Alizotoa

==Nyimbo Maarufu== 'Sauti ya dhahabu' aliyoshirikisha wasanii kama Jay Moe

Viuongo vya nje

Makala hii kuhusu muziki wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khalid Mohamed kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.