Fid Q : Tofauti kati ya masahihisho
Minor fix using AWB |
picha |
||
Mstari 19: | Mstari 19: | ||
==Historia== |
==Historia== |
||
[[File:Fid Q at the 2013 Zanzibar International Film Festival.jpg|thumb|Fid Q, 2013]] |
|||
===Shughuli za awali (kwa ufupi)=== |
===Shughuli za awali (kwa ufupi)=== |
||
Fid Q alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 1990. Fid Q alitoa kibao chake cha kwanza mwaka 2000 kiitwacho 'Huyu na Yule' ambacho hicho aliimba na msanii [[Mr Paul]]. Kibao hiki kilimpa heshima kubwa, kibao hicho kilirekodiwa katika studio za [[MJ records]] chini ya usimamizi wake [[Master Jay]] mwenyewe. |

Mstari 30: | Mstari 31: | ||
Fid Q ana albamu mbili kwenye soko la muziki. Albamu ya kwanza inaitwa inayoitwa "[[Vina Mwanzo Kati na Mwisho]]".<ref>[http://babkubwa.com/?p=45 Tovuti inayoonyesha Fid Q kutoa albamu yake mpya - katika Babu Kubwa]</ref> Mwishoni mwa mwaka 2009 alitoa albamu ya pili "PROPAGANDA", ambayo imepokelewa vizuri sana Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki. Mashabiki wa Hip Hop wanaichukulia PROPAGANDA kama ni albamu bora kabisa, yaani 'classic'. Hivi karibuni anategemea kutoa albamu yake ya tatu itakayokwenda kwa jina la "KitaaOLOJIA". |

==Marejeo== |
==Marejeo==]] |
||
{{Marejeo}} |
{{Marejeo}} |
||
Pitio la 23:54, 30 Julai 2015
Fid Q | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Fid Q |
Nchi | Tanzania |
Alizaliwa | 13 Agosti 1982 |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mwanamuziki |
Ameshirikiana na | Juma Nature Professor Jay Witness Mr. Paul Daz Baba Langa Kileo Black Rhino T.I.D. Adiri |
Ala | Sauti |
Kampuni | Bongo Records Mj Records Baucha Records |
Farid Kubanda (amezaliwa tar. 13 Agosti 1982, katika hospitali ya Bugando iliyopo jijini Mwanza) ni msanii wa hip hop na bongo flava kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Fid Q.
Historia
Shughuli za awali (kwa ufupi)
Fid Q alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 1990. Fid Q alitoa kibao chake cha kwanza mwaka 2000 kiitwacho 'Huyu na Yule' ambacho hicho aliimba na msanii Mr Paul. Kibao hiki kilimpa heshima kubwa, kibao hicho kilirekodiwa katika studio za MJ records chini ya usimamizi wake Master Jay mwenyewe.
Kibao chake cha pili kutoka kiliitwa 'Binti Malkia' ambacho alimshirikisha Noorelly. Ilivyofika mnamo mwaka wa 2004 Fid Q alivunja ukimya wake kwa kibao chake mahili kilichokwenda kwa jina la "Fid Q.com", na kibao hicho alikifanya katika studi ya Baucha Records baada ya kuhama kwa MJ.
Kibao hicho kiliirudisha ile hiphop ya Tanzania katika ramani yake halisi na inasemekana hivyo kwasababu kipindi hicho ni kile ambacho wasaanii wengi wa muziki wa kufokafoka walikuwa wamejiingiza katika masuala ya uimbaji kwasababu kulikuwa na uvumi wa kwamba hip hop haikubaliki kwa watu wa Tanzania.
Ilipofika mwezi wa Januri ya 26 katika mwaka wa 2008, Fid Q alipakua kibao kiitwacho "Ni Hayo Tu" alichomshirikisha Prof. J na Langa. Kibao hicho kilibahatika kujinyakulia Tuzo ya Kili kikiwa kama kibao bora cha muziki wa hip hop kwa mwaka wa 2007-2008.
Fid Q ana albamu mbili kwenye soko la muziki. Albamu ya kwanza inaitwa inayoitwa "Vina Mwanzo Kati na Mwisho".[1] Mwishoni mwa mwaka 2009 alitoa albamu ya pili "PROPAGANDA", ambayo imepokelewa vizuri sana Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki. Mashabiki wa Hip Hop wanaichukulia PROPAGANDA kama ni albamu bora kabisa, yaani 'classic'. Hivi karibuni anategemea kutoa albamu yake ya tatu itakayokwenda kwa jina la "KitaaOLOJIA".
==Marejeo==]]
Viungo vya nje
- Tovuti rasmi ya Fid Q
- Fareed Kubanda katika MySpace
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fid Q kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |