Mbu : Tofauti kati ya masahihisho
dNo edit summary |
Sahihisho |
||
Mstari 23: | Mstari 23: | ||
'''Mbu''' ni [[wadudu]] wadogo wa [[nusuoda]] [[Nematocera]] katika [[oda]] [[Diptera]] (yaani “wenye [[bawa|mabawa]] mawili”). Kwa asili jina hili limetumika kwa wadudu wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Culicidae]], lakini kwa sababu [[spishi]] nyingi za Nematocera hazina majina ya [[Kiswahili]], “mbu” linapendekezwa kama jina kwa Nematocera wote. Nusuoda nyingine ya Diptera, [[Brachycera]], inashirikisha [[nzi]] na jamaa wao. Spishi ndogo za Nematocera huitwa usubi au [[kisubi (mdudu)|visubi]]. |

Diptera wote wana mabawa mawili tu yaliyopo kwa [[toraksi|mesotoraksi]]. Mabawa ya nyuma ya asili yamepunguzika na kubadilika kuwa [[rungu|virungu]] ([[w:Halteres|halteres]]) ambavyo vinasaidia mdudu ajue mkao wake na mabadiliko ya mwelekeo (kama aina ya [[gurudumu tuzi]]). Vipapasio vya Nematocera ni virefu kiasi na vina mapingili mengi kuliko Brachycera. Madume ya spishi nyingi zinabeba nywele nyingi juu ya vipapasio. Sehemu za kinywa za mbu |
Diptera wote wana mabawa mawili tu yaliyopo kwa [[toraksi|mesotoraksi]]. Mabawa ya nyuma ya asili yamepunguzika na kubadilika kuwa [[rungu|virungu]] ([[w:Halteres|halteres]]) ambavyo vinasaidia mdudu ajue mkao wake na mabadiliko ya mwelekeo (kama aina ya [[gurudumu tuzi]]). Vipapasio vya Nematocera ni virefu kiasi na vina mapingili mengi kuliko Brachycera. Madume ya spishi nyingi zinabeba nywele nyingi juu ya vipapasio. Sehemu za kinywa za mbu zimetoholewa kwa kufyunza. Mara nyingi zinaweza kudunga, k.m. katika spishi zinazofyunza [[damu]]. |
||
Spishi za mbu zinazojulikana sana ni zile ambazo hufyunza [[damu]]. Ni majike ambao wanafyunza damu, kwa sababu lazima wakuze [[yai|mayai]]. Madume na spishi nyingine za mbu hufyunza [[mbochi]] au utomvu. Mbu waladamu hurithisha [[ungonjwa|magonjwa]] mara nyingi, k.m. [[malaria]] (spishi za [[anofelesi]] (''[[Anopheles]]'')), [[homanyongo]], [[homa ya vipindi]], [[chikungunya]] (spishi za ''[[Aedes]]'') na [[matende]] (spishi za [[kuleksi]] (''[[Culex]]'')). |

Pitio la 22:20, 19 Julai 2015
Mbu | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mbu wa aina ya anofelesi (Anopheles gambiae) akifyonza damu
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Oda za chini 7: |
Mbu ni wadudu wadogo wa nusuoda Nematocera katika oda Diptera (yaani “wenye mabawa mawili”). Kwa asili jina hili limetumika kwa wadudu wa familia Culicidae, lakini kwa sababu spishi nyingi za Nematocera hazina majina ya Kiswahili, “mbu” linapendekezwa kama jina kwa Nematocera wote. Nusuoda nyingine ya Diptera, Brachycera, inashirikisha nzi na jamaa wao. Spishi ndogo za Nematocera huitwa usubi au visubi.
Diptera wote wana mabawa mawili tu yaliyopo kwa mesotoraksi. Mabawa ya nyuma ya asili yamepunguzika na kubadilika kuwa virungu (halteres) ambavyo vinasaidia mdudu ajue mkao wake na mabadiliko ya mwelekeo (kama aina ya gurudumu tuzi). Vipapasio vya Nematocera ni virefu kiasi na vina mapingili mengi kuliko Brachycera. Madume ya spishi nyingi zinabeba nywele nyingi juu ya vipapasio. Sehemu za kinywa za mbu zimetoholewa kwa kufyunza. Mara nyingi zinaweza kudunga, k.m. katika spishi zinazofyunza damu.
Spishi za mbu zinazojulikana sana ni zile ambazo hufyunza damu. Ni majike ambao wanafyunza damu, kwa sababu lazima wakuze mayai. Madume na spishi nyingine za mbu hufyunza mbochi au utomvu. Mbu waladamu hurithisha magonjwa mara nyingi, k.m. malaria (spishi za anofelesi (Anopheles)), homanyongo, homa ya vipindi, chikungunya (spishi za Aedes) na matende (spishi za kuleksi (Culex)).
Lava wa spishi nyingi zaidi huishi katika maji ambapo hula viani, bakteria na vijidudu wengine. Lava waambua ngozi mara nne kabla ya kuwa bundo. Akikomaa bundo aelea juu ya maji au apanda juu ya mmea wa maji na mdumili atoka.
Spishi kadhaa za Afrika
- Aedes aegypti, Mbu wa Homanyongo
- Aedes albopictus, Mbu-misitu
- Anopheles funestus, Anofelesi Kamata
- Anopheles gambiae, Anofelesi wa Gambia
- Culex quinquefasciatus, Kuleksi Mabaka-matano
- Culex thalassius, Kuleksi-pwani
Picha
-
Aedes aegypti akifyunza damu
-
Culex quinquefasciatus
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |