Jicho : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Menschliches auge.jpg|thumb|Jicho la binadamu]]
[[Picha:Menschliches auge.jpg|thumb|Jicho la binadamu]]
[[Picha:Dragonfly eye 3811.jpg|150px|thumb|Macho ya kuungwa ya inzi]]
[[Picha:Dragonfly eye 3811.jpg|150px|thumb|Macho ya kuungwa ya nzi]]
'''Jicho''' ni sehemu ya [[mwili]] inayowezesha kuona. Ni [[ogani]] inayotambua [[mwanga]] na kutuma habari zake kwa [[ubongo]].

'''Jicho''' ni sehemu ya mwili inayotuwezesha kuona. Ni ogani inayotambua [[mwanga]] na kutuma habari zake kwa [[ubongo]].


== Aina za macho ya viumbehai ==
== Aina za macho ya viumbehai ==
Kuna mifumo mbalimbali ya macho kati ya aina mbalimbali ya [[wanyama]].
Kuna mifumo mbalimbali ya macho kati ya aina mbalimbali za [[wanyama]].


Macho ya kimsingi kwa viumbehai vidogo yanatambua tu kama mazingira yana mwanga au la. Hata kati ya wenye seli moja huwa kuna viumbehai vyenye protini zinazotofautisha giza na nuru. Kuna konokono ambao hawawezi "kuona" picha ya mazingira lakini wanatambua mwanga na uwezo huu unawawezesha kuepukana na mwanga wa jua ambako wangekauka.
Macho ya kimsingi kwa [[viumbehai]] vidogo yanatambua tu kama [[mazingira |mazingira]] yana mwanga au la. Hata kati ya viumbehai wenye [[seli]] moja kuna wenye [[protini]] zinazotofautisha [[giza]] na [[nuru]]. Kuna [[konokono]] ambao hawawezi "kuona" [[picha]] ya mazingira lakini wanatambua mwanga na uwezo huu unawawezesha kuepukana na mwanga wa [[jua]] ambao ungewakausha.


Macho yaliyoendelea kiasi yana umbo kama kikombe na hii inawezesha kutambua ni upande gani nuru inapotokea.
Macho yaliyoendelea kiasi yana [[umbo]] kama [[kikombe]] na hii inawezesha kutambua upande gani nuru inatokea.


Wanyama wengi huwa na macho yaliyoendelea zaidi yana uwezo wa kuona picha halisi ya mazingira pamoja na rangi na mwendo.
[[Wanyama]] wengi huwa na macho yaliyoendelea zaidi: yana uwezo wa kuona picha halisi ya mazingira pamoja na [[rangi]] na [[mwendo]].
[[Picha:Drosophilidae_compound_eye.jpg|thumb||Jicho la inzi (drosophila) chini ya hadubini; lenzi ya kila omatidi inaonekana kama nusu tufe]]
[[Picha:Drosophilidae_compound_eye.jpg|thumb||Jicho la nzi (drosophila) chini ya [[hadubini]]; [[lenzi]] ya kila [[omatidi]] inaonekana kama [[nusu tufe]].]]


== Macho ya kuungwa ==
== Macho ya kuungwa ==
[[Wadudu]] na [[arthropoda]] hua na [[macho ya kuungwa]] na vijicho vingi vidogo vinavyoitwa omatidi; kila kijicho huwa na umbo la kijiti na kwenye mwisho wake kuna lenzi ya chitini. Mdudu anaweza kuwa na vijicho vielfu na picha ya mazingira inaunganishwa na picha nyingi ndogo za kila kijicho. Macho haya ya kuungwa yanamwezesha mdudu kuangalia asilimia kubwa ya mazingira yake kwa aina kadhaa hata nyuma yake. Macho ya kuungwa yanaweza kufunika hadi asilimia 80 ya eneo la kichwa. Mdudu haoni vikali kama mtu lakini anaona mabadiliko na mwendo haraka sana.
[[Wadudu]] na [[arthropoda]] huwa na [[macho ya kuungwa]] na vijicho vingi vidogo vinavyoitwa [[omatidi]]; kila kijicho huwa na umbo la [[kijiti]] na kwenye mwisho wake kuna lenzi ya [[chitini]]. Mdudu anaweza kuwa na vijicho elfu kadhaa na picha ya mazingira inaunganishwa na picha nyingi ndogo za kila kijicho.
Macho haya ya kuungwa yanamwezesha mdudu kuangalia [[asilimia]] kubwa ya mazingira yake: kwa aina kadhaa hata nyuma yake. Macho ya kuungwa yanaweza kufunika hadi asilimia 80 ya eneo la [[kichwa]]. Mdudu haoni vikali kama mtu lakini anaona mabadiliko na mwendo haraka sana.


Wanyama wanaoishi katika vilindi vya bahari penye giza huwa na macho ambamo fuwele ziko kama kioo na kupazia nuru hafifu.
Wanyama wanaoishi katika vilindi vya [[bahari]] penye giza nene huwa na macho ambamo [[fuwele]] ziko kama [[kioo]] na kupazia nuru hafifu.


Kuna wanyama wanaoweza kuona nuru ambayo ni nje ya upeo ya kibinadamu kwa mfano nyuki huona mnururisho wa infraredi.
Kuna wanyama wanaoweza kuona nuru ambayo ni nje ya [[upeo]] wa kibinadamu; kwa mfano [[nyuki]] huona [[mnururisho]] wa [[infraredi]].


== Macho ya mamalia ==
== Macho ya mamalia ==
Macho ya binadamu kama ya [[mamalia]] huwa na lenzi moja tu. Lakini muundo wa jicho unaruhusu kuona rangi, umbali na mengi madogo.
Macho ya [[binadamu]] kama ya [[mamalia]] huwa na lenzi moja tu. Lakini muundo wa jicho unaruhusu kuona rangi, [[umbali]] na mengi madogo.


==Viungo vya nje==
{{commonscat|Eyes}}
{{commonscat|Eyes}}


{{mbegu-biolojia}}
{{mbegu-anatomia}}
<!-- interwiki -->
<!-- interwiki -->



Pitio la 14:37, 18 Julai 2015

Jicho la binadamu
Macho ya kuungwa ya nzi

Jicho ni sehemu ya mwili inayowezesha kuona. Ni ogani inayotambua mwanga na kutuma habari zake kwa ubongo.

Aina za macho ya viumbehai

Kuna mifumo mbalimbali ya macho kati ya aina mbalimbali za wanyama.

Macho ya kimsingi kwa viumbehai vidogo yanatambua tu kama mazingira yana mwanga au la. Hata kati ya viumbehai wenye seli moja kuna wenye protini zinazotofautisha giza na nuru. Kuna konokono ambao hawawezi "kuona" picha ya mazingira lakini wanatambua mwanga na uwezo huu unawawezesha kuepukana na mwanga wa jua ambao ungewakausha.

Macho yaliyoendelea kiasi yana umbo kama kikombe na hii inawezesha kutambua upande gani nuru inatokea.

Wanyama wengi huwa na macho yaliyoendelea zaidi: yana uwezo wa kuona picha halisi ya mazingira pamoja na rangi na mwendo.

Jicho la nzi (drosophila) chini ya hadubini; lenzi ya kila omatidi inaonekana kama nusu tufe.

Macho ya kuungwa

Wadudu na arthropoda huwa na macho ya kuungwa na vijicho vingi vidogo vinavyoitwa omatidi; kila kijicho huwa na umbo la kijiti na kwenye mwisho wake kuna lenzi ya chitini. Mdudu anaweza kuwa na vijicho elfu kadhaa na picha ya mazingira inaunganishwa na picha nyingi ndogo za kila kijicho.

Macho haya ya kuungwa yanamwezesha mdudu kuangalia asilimia kubwa ya mazingira yake: kwa aina kadhaa hata nyuma yake. Macho ya kuungwa yanaweza kufunika hadi asilimia 80 ya eneo la kichwa. Mdudu haoni vikali kama mtu lakini anaona mabadiliko na mwendo haraka sana.

Wanyama wanaoishi katika vilindi vya bahari penye giza nene huwa na macho ambamo fuwele ziko kama kioo na kupazia nuru hafifu.

Kuna wanyama wanaoweza kuona nuru ambayo ni nje ya upeo wa kibinadamu; kwa mfano nyuki huona mnururisho wa infraredi.

Macho ya mamalia

Macho ya binadamu kama ya mamalia huwa na lenzi moja tu. Lakini muundo wa jicho unaruhusu kuona rangi, umbali na mengi madogo.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jicho kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.