Kihindustani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+picha
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Hindustani0804.PNG|thumbnail|Neno "Hindustani" kwa maandishi ya Kiarabu na Devanagari]]
[[Picha:Hindustani0804.PNG|thumbnail|Neno "Hindustani" kwa maandishi ya Devanagari na Kiarabu.]]
'''Kihindustani''' (pia: '''Kihindi-Kiurdu''') ni lugha ya pamoja katika kaskazini ya [[Uhindi]] na [[Pakistan]]. Inapatikana kwa umbo sanifu tofauti katika kila nchi na hii ni [[Kiurdu]] katika Pakistan na [[Kihindi]] katika India.
'''Kihindustani''' (pia: '''Kihindi-Kiurdu''') ni [[lugha]] ya pamoja katika kaskazini ya [[Uhindi]] na [[Pakistan]].
Inapatikana kwa [[umbo]] sanifu tofauti katika nchi hizo: [[Kiurdu]] katika Pakistan na [[Kihindi]] katika India.


Kinahesabiwa kuwa kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za karibu ni pamoja [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].
Kinahesabiwa kuwa kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za karibu ni pamoja [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].


Maandishi ni tofauti kila nchi yaani upande wa Pakistan kwa [[herufi za Kiarabu]] na upande wa Uhindi kwa herufi za [[Devanagari]]. Lakini kama lugha ya majadiliano hakuna tofauti. Sarufi ni sawa, lakini kuna kiasi cha tofauti katika msamiati hasa katika lugha ya maandishi. Upande wa Kiurdu / Pakistan kuna maneno mengi zaidi yenye asili ya [[Kiarabu]], [[Kituruki]] na [[Kiajemi]]. Upande wa Uhindi waandishi hutumia zaidi maneno yenye asili katika [[Kisanskrit]].
Maandishi ni tofauti kila nchi, yaani upande wa Pakistan kinaandikwa kwa [[herufi za Kiarabu]] na upande wa Uhindi kwa herufi za [[Devanagari]]. Lakini kama lugha ya majadiliano hakuna tofauti. [[Sarufi]] ni sawa, lakini kuna kiasi cha tofauti katika [[msamiati]] hasa, katika lugha ya maandishi. Upande wa Kiurdu / Pakistan kuna maneno mengi zaidi yenye asili ya [[Kiarabu]], [[Kituruki]] na [[Kiajemi]]. Upande wa Uhindi waandishi hutumia zaidi maneno yenye asili katika [[Kisanskrit]].


Kabla ya ugawaji wa [[Uhindi ya Kiingereza]] mwaka 1947 majina kama Hindustani, Urdu, na Hindi yalikuwa maana yaleyale na kutumiwa kwa mchanganyiko. Leo hii neneo "Hindustani" bado hutumiwa kwa lugha inayozungumzwa kote Uhindi kaskazini na Pakistan na pia mara nyingi kwa aili ya lugha ya Wahindi wanaokaa nje ya Uhindi tangu muda mrefu kwa mfano "Fiji Hindi" na Hindustani wa [[Surinam]].
Kabla ya ugawaji wa [[Uhindi ya Kiingereza]] mwaka [[1947]] majina kama Hindustani, Urdu, na Hindi yalikuwa na maana ileile na kutumiwa kwa mchanganyiko. Leo hii neno "Hindustani" bado hutumiwa kwa lugha inayozungumzwa kote Uhindi kaskazini na Pakistan, pia mara nyingi kwa ajili ya lugha ya Wahindi wanaokaa nje ya Uhindi tangu muda mrefu kwa mfano: "Fiji Hindi" na Hindustani ya [[Surinam]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/hind1270 lugha za Kihindustani katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/hind1270 Lugha za Kihindustani katika Glottolog]


[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiajemi]]
[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiajemi]]

Pitio la 10:01, 18 Julai 2015

Neno "Hindustani" kwa maandishi ya Devanagari na Kiarabu.

Kihindustani (pia: Kihindi-Kiurdu) ni lugha ya pamoja katika kaskazini ya Uhindi na Pakistan.

Inapatikana kwa umbo sanifu tofauti katika nchi hizo: Kiurdu katika Pakistan na Kihindi katika India.

Kinahesabiwa kuwa kati ya lugha za Kihindi-Kiajemi ndani ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Lugha za karibu ni pamoja Kipunjabi, Kisindhi, Kigujarati, Kimarathi na Kibengali.

Maandishi ni tofauti kila nchi, yaani upande wa Pakistan kinaandikwa kwa herufi za Kiarabu na upande wa Uhindi kwa herufi za Devanagari. Lakini kama lugha ya majadiliano hakuna tofauti. Sarufi ni sawa, lakini kuna kiasi cha tofauti katika msamiati hasa, katika lugha ya maandishi. Upande wa Kiurdu / Pakistan kuna maneno mengi zaidi yenye asili ya Kiarabu, Kituruki na Kiajemi. Upande wa Uhindi waandishi hutumia zaidi maneno yenye asili katika Kisanskrit.

Kabla ya ugawaji wa Uhindi ya Kiingereza mwaka 1947 majina kama Hindustani, Urdu, na Hindi yalikuwa na maana ileile na kutumiwa kwa mchanganyiko. Leo hii neno "Hindustani" bado hutumiwa kwa lugha inayozungumzwa kote Uhindi kaskazini na Pakistan, pia mara nyingi kwa ajili ya lugha ya Wahindi wanaokaa nje ya Uhindi tangu muda mrefu kwa mfano: "Fiji Hindi" na Hindustani ya Surinam.

Viungo vya nje