John Malecela : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 4 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q744271 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[File:John Malecela (cropped).jpg|thumb|Malecela.]] |
|||
'''John Samuel Malecela''' (amezaliwa [[1934]]) ni mwanasiasa kutoka nchi ya [[Tanzania]]. Baadhi ya kazi mbalimbali ya kisiasa, alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje (1972-73) na Mkuu wa [[Mkoa wa Iringa]] (1980-84). Kuanzia tarehe [[9 Novemba]] [[1990]] hadi tarehe [[7 Desemba]] [[1994]] alikuwa [[Waziri Mkuu]] wa saba wa Tanzania. |

Pitio la 13:52, 30 Juni 2015
John Samuel Malecela (amezaliwa 1934) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Baadhi ya kazi mbalimbali ya kisiasa, alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje (1972-73) na Mkuu wa Mkoa wa Iringa (1980-84). Kuanzia tarehe 9 Novemba 1990 hadi tarehe 7 Desemba 1994 alikuwa Waziri Mkuu wa saba wa Tanzania.
Viungo vya nje
Ofisi za Kisiasa | ||
---|---|---|
Alitanguliwa na Joseph Sinde Warioba |
Waziri Mkuu wa Tanzania 1990-1994 |
Akafuatiwa na Cleopa David Msuya |
Alitanguliwa na Salim Ahmed Salim |
Makamu wa Rais wa Tanzania 1990-1994 |
Akafuatiwa na Cleopa David Msuya |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Malecela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |