Masedonia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 48 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q103251 (translate me)
Replacing Macedonia_topography.svg with File:Macedonia_topography-en.svg (by CommonsDelinker because: File renamed: File renaming criterion #4: To harmonize the file name
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Greater Macedonia.png|thumb|right|335px|Eneo la Masedonia la kihistoria limegawanyika leo hii kati ya nchi za kisasa za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]], [[Bulgaria]], [[Albania]] na [[Serbia]].]]

[[File:Macedonia topography.svg|thumb|right|335px|Ramani ya topografia ya Masedonia]]
[[File:Macedonia topography-en.svg|thumb|right|335px|Ramani ya topografia ya Masedonia]]

'''Masedonia''' (pia: '''Makedonia''') ni eneo la kijiografia na kihistoria kwenye rasi ya [[Balkani]] katika [[Ulaya]] kusini mashariki. Katika mwendo wa historia mipaka yake yalibadilika mara nyingi na leo hii ni takriban kilomita za mraba 67,000 zinazohesabiwa humo zinazokaliwa na watu milioni 4,7. Eneo hili limegawanyika hasa kati ya nchi za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]] na [[Bulgaria]]; maeneo madogo yamo ndani ya [[Serbia]] na [[Albania]].

Pitio la 11:30, 25 Juni 2015

Eneo la Masedonia la kihistoria limegawanyika leo hii kati ya nchi za kisasa za Ugiriki, Jamhuri ya Masedonia, Bulgaria, Albania na Serbia.
Ramani ya topografia ya Masedonia

Masedonia (pia: Makedonia) ni eneo la kijiografia na kihistoria kwenye rasi ya Balkani katika Ulaya kusini mashariki. Katika mwendo wa historia mipaka yake yalibadilika mara nyingi na leo hii ni takriban kilomita za mraba 67,000 zinazohesabiwa humo zinazokaliwa na watu milioni 4,7. Eneo hili limegawanyika hasa kati ya nchi za Ugiriki, Jamhuri ya Masedonia na Bulgaria; maeneo madogo yamo ndani ya Serbia na Albania.

Katika karne ya 4 KK eneo hili lilikuwa kiini cha ufalme wa Masedonia uanojulikana hasa kutokana na wafalme wake Filipo I na Aleksanda Mkuu. Wakati ule Masedonia ilihesabiwa kama sehemu ya utamaduni wa Kigiriki.

Baadaye makabila ya Kislavoni yalihamia hapa. Leo hii wakazi wengi wa Masedonia ya kihistoria nje ya Ugiriki wanatumia lugha za Kislavoni wakati ndani ya Masedonia ya Kigiriki wanatumia lugha ya Kigiriki.