Ilias : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo va Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|bar}} using AWB (10903)
Replacing Homeric_Greece.svg with File:Homeric_Greece-en.svg (by CommonsDelinker because: File renamed: File renaming criterion #4: To harmonize the file names of a set o
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Akhilleus Patroklos Antikensammlung Berlin F2278.jpg|thumb|right|250px|[[Achilles]] anamsaidia Patroklos mjeruhiwa]]
[[Picha:Akhilleus Patroklos Antikensammlung Berlin F2278.jpg|thumb|right|250px|[[Achilles]] anamsaidia Patroklos mjeruhiwa]]
[[Picha:Beginning Iliad.svg|thumb|right|250px|Aya ya kwanza ya ''Iliadi'']]
[[Picha:Beginning Iliad.svg|thumb|right|250px|Aya ya kwanza ya ''Iliadi'']]
[[Picha:Homeric Greece.svg|thumb|250px|Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer]]
[[Picha:Homeric Greece-en.svg|thumb|250px|Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer]]
'''Ilias''' au '''Iliadi''' ([[Kigiriki]] Ἰλιάς ''ilias'', jina mbadala la mji wa [[Troya]]) ni utenzi wa kale na mfano wa kwanza wa [[fasihi andishi]] ya utamaduni wa [[Ugiriki ya Kale]].
'''Ilias''' au '''Iliadi''' ([[Kigiriki]] Ἰλιάς ''ilias'', jina mbadala la mji wa [[Troya]]) ni utenzi wa kale na mfano wa kwanza wa [[fasihi andishi]] ya utamaduni wa [[Ugiriki ya Kale]].
Ilitungwa kama tenzi wa [[fasihi simulizi]] na kuandikwa mnamo [[karne ya 8 KK]] ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24.
Ilitungwa kama tenzi wa [[fasihi simulizi]] na kuandikwa mnamo [[karne ya 8 KK]] ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24.

Pitio la 11:27, 25 Juni 2015

Achilles anamsaidia Patroklos mjeruhiwa
Aya ya kwanza ya Iliadi
Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer

Ilias au Iliadi (Kigiriki Ἰλιάς ilias, jina mbadala la mji wa Troya) ni utenzi wa kale na mfano wa kwanza wa fasihi andishi ya utamaduni wa Ugiriki ya Kale. Ilitungwa kama tenzi wa fasihi simulizi na kuandikwa mnamo karne ya 8 KK ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24.

Utenzi huu inasimulia matukio ya vita ya Troya pamoja na habari za mashujaa zake pande mbili za vita hii. Inakusanya pia habari nyingi za miungi ya Ugiriki. Anayetajwa kama mwandishi ni mshairi Homer hata kama wataalamu wa kisasa wanajadiliana huyu alikuwa nani na kama aliishi kweli.

Katika historia ndefu ya miaka 10 ya vita ya Troya Ilias inasimulia wiki za mwisho tu. Inaanza na hasira ya mungu Apollon kwa sababu ya tendo la Achilles kumteka binti wa kuhani wa mungu huyu na fitina kati ya mshujaa Achilles na mfalme Agamemnon inayofuata. Kutokana na fitna hii Achilles anagoma kushiriki katika vita tena na sasa Wagiriki hawawezi kushindana tena na Watroya. Wakati Wagiriki wanaelekea kushindwa Achilles anaudi vitani baada ya kuawa kwa rafiki yake Patroklos kwa mkono wa shujaa Mtroya Hektor. Anamwua Hektor na kuacha maiti yake kwa siku 12 kwenye mchanga. Mwishoni anatulia anamruhusu babake Hektor kumzika mwanawe.

Majina muhimu katika Ilias ni pamoja na Achilles, Odiseo, Agamemnon, Menelao, Priamo, Hektor, Paris na Helena.

Pamoja na utenzi mwingine wa Homer unaoitwa Odisei ni chanzo cha fasihi ya Ugiriki ya Kale.

Viungo va Nje

Kigezo:Wikiquote-en

  • Iliad, online version of the work by Homer (English). Pope translation.
  • Iliad in Ancient Greek: from the Perseus Project (PP), with the Murray and Butler translations and hyperlinks to mythological and grammatical commentary; via the Chicago Homer, with the Lattimore translation and markup indicating formulaic repetitions