Enameli ya jino : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Jino muundo.jpg|thumbnail|Nafasi ya enameli kwenye muundo wa jino]]
[[Picha:Jino muundo.jpg|thumbnail|Nafasi ya enameli kwenye muundo wa jino]]
'''Enameli ya jino''' ni sehemu ya [[jino]] inayoonekana tukifungua kinywa. Ni dutu ya ufupa mgumu sana inayofunika na kulinda kichwa cha jino au [[tajino]].
'''Enameli ya jino''' ni sehemu ya [[jino]] inayoonekana tukifungua [[kinywa]]. Ni [[dutu]] ya [[ufupa]] mgumu sana inayofunika na kulinda kichwa cha jino au [[tajino]].


Enameli hii inapatikana kwa meno ya [[binadamu]] na [[wanyama]] wengi pamoja na [[samaki]] kadhaa. Enameli inaweza kuharibika kwa ajali, kutafuna vitu vigumu (kama kung'ata jiwe ndani ya chakula) au kutokana na vyakula na vinjwaji vyenye sukari nyingi vinavyosababishi [[karisi]] (kuoza kwa meno).
Enameli hii inapatikana kwa meno ya [[binadamu]] na [[wanyama]] wengi pamoja na [[samaki]] kadhaa.


Enameli inaweza kuharibika kwa ajali, kutafuna vitu vigumu (kama kung'ata jiwe ndani ya [[chakula]]) au kutokana na vyakula na vinywaji vyenye [[sukari]] nyingi vinavyosababisha [[karisi]] (kuoza kwa meno).

{{mbegu-anatomia}}


[[jamii:meno]]
[[jamii:meno]]

Toleo la sasa la 11:39, 19 Juni 2015

Nafasi ya enameli kwenye muundo wa jino

Enameli ya jino ni sehemu ya jino inayoonekana tukifungua kinywa. Ni dutu ya ufupa mgumu sana inayofunika na kulinda kichwa cha jino au tajino.

Enameli hii inapatikana kwa meno ya binadamu na wanyama wengi pamoja na samaki kadhaa.

Enameli inaweza kuharibika kwa ajali, kutafuna vitu vigumu (kama kung'ata jiwe ndani ya chakula) au kutokana na vyakula na vinywaji vyenye sukari nyingi vinavyosababisha karisi (kuoza kwa meno).

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enameli ya jino kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.