Tofauti kati ya marekesbisho "Mkoa wa Mtwara"

Jump to navigation Jump to search
No change in size ,  miaka 5 iliyopita
→‎Uchumi: Fixed typo, Fixed grammar
(→‎Wakazi: Fixed typo)
Tags: Mobile edit Mobile app edit
(→‎Uchumi: Fixed typo, Fixed grammar)
Tags: Mobile edit Mobile app edit
Mtwara iko kati ya mikoa iliyobaki nyuma miaka mingi kutokana na ugumu wa mawasiliano na barabara isiyopitika kwa sehemu kubwa ya kila mwaka.
 
Historia ya Mtwara unakujainakuja sambamba na kumbukumbu la jaribio la [[Waingereza]] la kuanzisha mradi mkubwa wa maendeleo katika eneo hili ulioshindikana kabisa. Kuanzia 1947 serikali ya kikoloni ilijenga bandari ya Mtwara pamoja na reli. Vilevile [[Mtwara mjini]] ulipangwailipangwa vizuri na kubwa. Sababu yake ilikuwa mpango wa kuanzisha kilimo cha mashamba makubwa kwa ajili ya karanga hasa zilizohitajika kwa ajili ya mahitaji ya Waingereza ya mafuta ya kupikia. Mradi huu ulishindikana kabisa, pesa nyingi ilipotea hadi mradi ulifutwa kabla ya Tanzania kupata uhuru. Reli imeondolewailiondolewa tena 1963.
 
Bandari imebaki ambayo haijaona kazi nyingi lakini bado ina faida ya kuwa na nafasi nzuri sana ya kupokea meli kubwa. Wakati wa mapambano dhidi ya serikali ya ubaguzi wa rangi katika Afrika Kusini mipango mbalimbali imetungwa kutengeneza njia ya kupeleka bishaa kutoka bandari ya Mtwara kwenda [[Songea]] na kutoka huko [[Malawi]] kwa kuvuka [[Ziwa la Nyasa]].
Anonymous user

Urambazaji