Mtume Barnaba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 41 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q185856 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Martyrdom Saint Barnabas.jpg|thumb|right|260px|Kifodini cha Mt. Barnaba, kutoka ''[[Legenda Aurea]]'' ya [[Jacopo wa Varazze]].]]
[[Picha:Martyrdom Saint Barnabas.jpg|thumb|right|260px|[[Kifodini]] cha Mt. Barnaba, kutoka ''[[Legenda Aurea]]'' ya [[Jacopo wa Varazze]].]]
'''Yosefu wa Kupro''', [[Myahudi]] wa [[kabila]] la [[Lawi (kabila)|Lawi]] wa [[karne ya 1]] [[BK]], anajulikana hasa kupitia [[kitabu]] cha [[Matendo ya Mitume]] kwa jina la '''Barnaba''' (kwa [[Kiaramu]] בר נביא, bar naḇyā, yaani '[[mwana]] wa [[nabii]]'. Lakini [[Luka mwinjili]] ([[Mdo]] 4:36) alitafsiri kwa [[Kigiriki]] υἱός παρακλήσεως, huios paraklēseōs, yaani "mwana wa faraja" au "mwana wa himizo".


Humo tunapata [[habari]] kuwa [[uongofu|aliongokea]] mapema [[Ukristo]], akauza [[shamba]] lake na kuwakabidhi [[Mitume wa Yesu]] mapato yake ili wawasaidie [[maskini]]. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita [[Barnaba]] (Mdo 4:36-37).
'''Yosefu wa Kupro''', [[Myahudi]] wa [[kabila]] la [[Lawi]], anajulikana hasa kupitia kitabu cha [[Matendo ya Mitume]].

Humo tunapata habari kuwa aliongokea mapema [[Ukristo]], akauza shamba lake na kuwakabidhi [[Mitume wa Yesu]] mapato yake ili wawasaidie maskini. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita [[Barnaba]], yaani "Mwana wa faraja" (Mdo 4:36-37).


Kisha kuheshimiwa hivyo katika [[Kanisa]] la awali huko [[Yerusalemu]], alimtambulisha na kumdhamini [[Mtume Paulo]] muda mfupi baada ya huyo kuongoka huko [[Damasko]] (Mdo 9:26-28).
Kisha kuheshimiwa hivyo katika [[Kanisa]] la awali huko [[Yerusalemu]], alimtambulisha na kumdhamini [[Mtume Paulo]] muda mfupi baada ya huyo kuongoka huko [[Damasko]] (Mdo 9:26-28).


Watu wa mataifa walipoanza kuingizwa moja kwa moja katika Ukristo huko [[Antiokia]], alitumwa huko kwa niaba ya Kanisa mama, akawa kiongozi mkuu wa jumuia hiyo mpya (Mdo 11:19-30; 13:1).
Watu wa mataifa walipoanza kuingizwa moja kwa moja katika Ukristo [[Mji|mjini]] [[Antiokia]], alitumwa huko kwa [[niaba]] ya Kanisa mama, akawa [[kiongozi]] mkuu wa jumuia hiyo mpya (Mdo 11:19-30; 13:1).

Baadaye [[Roho Mtakatifu]] alidai yeye na Paulo wapelekwe kufanya [[umisionari]] sehemu nyingine, wakaondoka pamoja na [[binamu]] yake, [[Yohane Marko]], kuelekea kwanza [[Kisiwa|kisiwani]] [[Kupro]], halafu [[bara]], katika maeneo ya [[Uturuki]] Kusini wa leo (Mdo 13:2-14:28).

[[Kazi]] yao ilipopata [[upinzani]] kwa sababu ya kutodai [[Wapagani]] wakiongoka washike [[Torati]] yote, walikwenda pamoja Yerusalemu (mwaka [[49]] hivi, kwa [[mtaguso]] wa Mitume, ambao uliamua kuhusu [[suala]] hilo (Mdo 15:1-35).


Baada ya kutengana na Paulo, Barnaba alifunga tena safari kwenda Kupro pamoja na Marko (Mdo 15:36-39) kati ya miaka [[50]] na [[53]].
Baadaye [[Roho Mtakatifu]] alidai yeye na Paulo wapelekwe kufanya [[umisionari]] sehemu nyingine, wakaondoka pamoja na binamu yake, [[Yohane Marko]], kuelekea kwanza kisiwani [[Kupro]], halafu bara, katika maeneo ya [[Uturuki]] Kusini wa leo (Mdo 13:2-14:28).


Baada ya hapo hatuna tena habari ya hakika juu yake, ila Mtume Paulo alimtaja kama mfano wa mtu asiye na [[mke]] kwa ajili ya [[uinjilishaji]] ([[1Kor]] 9:16-22).
Kazi yao ilipopata upinzani kwa kutodai Wapagani wakiongoka washike [[Torati]] yote, walikwenda pamoja Yerusalemu (mwaka [[49]] hivi, kwa [[mtaguso]] wa Mitume, ambao uliamua kuhusu suala hilo (Mdo 15:1-35).


Mapokeo yanasema aliuawa kwa ajili ya [[imani]] yake huko [[Salamis]], Kupro, mwaka [[61]].
Baada ya kutengana na Paulo, Barnaba alifunga tena safari kwenda Kupro pamoja na Marko (Mdo 15:36-39) kati ya miaka [[50]] na [[53]], na baada ya hapo hatuna tena habari ya hakika juu yake.


[[Kanisa Katoliki]], [[Waorthodoksi]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] wanamheshimu kama [[mtakatifu]] tarehe [[11 Juni]].
[[Kanisa Katoliki]], [[Waorthodoksi]], [[Waorthodoksi wa Mashariki]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] wanamheshimu kama [[mtakatifu]] tarehe [[11 Juni]].


Wataalamu wengine wanamtaja kama mtunzi wa [[Waraka kwa Waebrania]], na [[Klemens wa Aleksandria]] alimtaja kama mwandishi wa [[Waraka wa Barnaba]], lakini hakuna hakika.
Wataalamu wengine wanamtaja kama [[mtunzi]] wa [[Waraka kwa Waebrania]], na [[Klemens wa Aleksandria]] alimtaja kama [[mwandishi]] wa [[Waraka wa Barnaba]], lakini hakuna hakika.


==Marejeo==
==Marejeo==
Mstari 30: Mstari 33:
*[http://www.saintbarnabaschurch.org.uk/stbarnabasbiog.htm Biography of St Barnabas]
*[http://www.saintbarnabaschurch.org.uk/stbarnabasbiog.htm Biography of St Barnabas]
*[http://www.barnabas.net Gospel of Barnabas]
*[http://www.barnabas.net Gospel of Barnabas]
*{{CathEncy|wstitle=St. Barnabas}}
*{{CathEncy|wstitle=Epistle of Barnabas}}
*{{Cite EB1911|wstitle=Barnabas}}
*[http://www2.evansville.edu/ecoleweb/glossary/barnabas.html The Ecole Glossary about Barnabas]
*[http://www2.evansville.edu/ecoleweb/glossary/barnabas.html The Ecole Glossary about Barnabas]
*[http://www.ccel.org/fathers2/ANF-01/anf01-41.htm The Epistle of Barnabas]
*[http://www.ccel.org/fathers2/ANF-01/anf01-41.htm The Epistle of Barnabas]
Mstari 44: Mstari 44:
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Mitume katika Ukristo]]
[[Jamii:Mitume katika Ukristo]]
[[Jamii:Manabii wa Agano Jipya]]
[[Jamii:Watakatifu wa Kupro]]
[[Jamii:Watakatifu wa Kupro]]

Pitio la 10:38, 12 Juni 2015

Kifodini cha Mt. Barnaba, kutoka Legenda Aurea ya Jacopo wa Varazze.

Yosefu wa Kupro, Myahudi wa kabila la Lawi wa karne ya 1 BK, anajulikana hasa kupitia kitabu cha Matendo ya Mitume kwa jina la Barnaba (kwa Kiaramu בר נביא, bar naḇyā, yaani 'mwana wa nabii'. Lakini Luka mwinjili (Mdo 4:36) alitafsiri kwa Kigiriki υἱός παρακλήσεως, huios paraklēseōs, yaani "mwana wa faraja" au "mwana wa himizo".

Humo tunapata habari kuwa aliongokea mapema Ukristo, akauza shamba lake na kuwakabidhi Mitume wa Yesu mapato yake ili wawasaidie maskini. Labda kwa sababu hiyo Mitume walimuita Barnaba (Mdo 4:36-37).

Kisha kuheshimiwa hivyo katika Kanisa la awali huko Yerusalemu, alimtambulisha na kumdhamini Mtume Paulo muda mfupi baada ya huyo kuongoka huko Damasko (Mdo 9:26-28).

Watu wa mataifa walipoanza kuingizwa moja kwa moja katika Ukristo mjini Antiokia, alitumwa huko kwa niaba ya Kanisa mama, akawa kiongozi mkuu wa jumuia hiyo mpya (Mdo 11:19-30; 13:1).

Baadaye Roho Mtakatifu alidai yeye na Paulo wapelekwe kufanya umisionari sehemu nyingine, wakaondoka pamoja na binamu yake, Yohane Marko, kuelekea kwanza kisiwani Kupro, halafu bara, katika maeneo ya Uturuki Kusini wa leo (Mdo 13:2-14:28).

Kazi yao ilipopata upinzani kwa sababu ya kutodai Wapagani wakiongoka washike Torati yote, walikwenda pamoja Yerusalemu (mwaka 49 hivi, kwa mtaguso wa Mitume, ambao uliamua kuhusu suala hilo (Mdo 15:1-35).

Baada ya kutengana na Paulo, Barnaba alifunga tena safari kwenda Kupro pamoja na Marko (Mdo 15:36-39) kati ya miaka 50 na 53.

Baada ya hapo hatuna tena habari ya hakika juu yake, ila Mtume Paulo alimtaja kama mfano wa mtu asiye na mke kwa ajili ya uinjilishaji (1Kor 9:16-22).

Mapokeo yanasema aliuawa kwa ajili ya imani yake huko Salamis, Kupro, mwaka 61.

Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki, Waanglikana na Walutheri wanamheshimu kama mtakatifu tarehe 11 Juni.

Wataalamu wengine wanamtaja kama mtunzi wa Waraka kwa Waebrania, na Klemens wa Aleksandria alimtaja kama mwandishi wa Waraka wa Barnaba, lakini hakuna hakika.

Marejeo

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. "The Penguin Dictionary of Saints," 3rd edition, New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.

Kuhusu maandishi yake

  • Die Apostolischen Väter. Griechisch-deutsche Parallelausgabe. J.C.B. Mohr Tübingen 1992. ISBN 3-16-145887-7
  • Der Barnabasbrief. Übersetzt und erklärt von Ferdinand R. Prostmeier. Series: Kommentar zu den Apostolischen Vätern (KAV, Vol. 8). Vandenhoeck & Ruprecht: Göttingen 1999. ISBN 3-525-51683-5

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: