Uhai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
| width = 220
| width = 220
| image1 = Hoh rain forest trees.jpg
| image1 = Hoh rain forest trees.jpg
| caption1 = [[Mti]] ukikua katika [[Hoh Rainforest]]
| caption1 = [[Miti]] ikikua katika [[Hoh Rainforest]]
| image2 = Grand prismatic spring.jpg
| image2 = Grand prismatic spring.jpg
| caption2 = Picha toka angani ya [[mikrobi]] kwenye [[Grand Prismatic Spring]] huko [[Yellowstone National Park]]
| caption2 = Picha toka [[anga]]ni ya [[mikrobi]] kwenye [[Grand Prismatic Spring]] huko [[Yellowstone National Park]]
}}
}}
'''Uhai''' kwa maana ya [[biolojia]] ni jumla ya [[tabia]] zinazotofautisha [[kiumbehai]] na [[maada]] kwa jumla. Kila uhai ulioweza kutazamiwa na [[sayansi]] unapatikana pamoja na maada.
'''Uhai''' kwa maana ya [[biolojia]] ni jumla ya [[tabia]] zinazotofautisha [[kiumbehai]] na [[maada]] kwa jumla. Hata hivyo kila uhai ulioweza kuchunguzwa na [[sayansi]] unapatikana pamoja na maada.


Kati ya tabia hizo kuna ni uwezo wa kushawishiwa na [[mazingira]], kujipanga, kukua, [[metaboli]] na kuzaa. Kila tabia peke yake haifanyi uhai, kwa sababu mojamoja zinaweza kutokea pia kwa [[mata]] isiyo hai: [[fuwele]] zinakua, [[ulimi wa moto]] una umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha [[molekuli]] za [[nta]] pamoja na [[oksijeni]] ya [[hewa]]ni [[Dioksidi kabonia|dioksidi kabonia]] na [[maji]]. Kwa hiyo ni jumla ya tabia, lakini kwa sababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote kwa pamoja kumbe hadi leo [[wataalamu]] hawajapatana bado ni ma[[sharti]] gani yanayohitajika ili kuwepo kwa "uhai".
Kati ya tabia hizo kuna uwezo wa kushawishiwa na [[mazingira]], kujipanga, kukua, [[metaboli]] na kuzaa. Kila tabia peke yake haifanyi uhai, kwa sababu mojamoja zinaweza kutokea pia kwa [[mata]] isiyo hai: [[fuwele]] zinakua, [[ulimi wa moto]] una umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha [[molekuli]] za [[nta]] pamoja na [[oksijeni]] ya [[hewa]]ni [[Dioksidi kabonia|dioksidi kabonia]] na [[maji]]. Kwa hiyo ni jumla ya tabia zinazothibitisha uwepo wa uhai, lakini hadi leo [[wataalamu]] hawajapatana bado ni ma[[sharti]] gani yanayohitajika, kwa sababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote kwa pamoja.


Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa [[seli]].
Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai wanaopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa [[seli]].


== Dunia kama mahali pa uhai ==
== Dunia kama mahali pa uhai ==
[[Dunia]] yetu ni [[sayari]] pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo [[binadamu]] na viumbe vingine vinaweza kuishi.
[[Dunia]] yetu ni [[sayari]] pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo [[binadamu]] na viumbehai vingine wanaweza kuishi.


Kuna sababu mbili:
Kuna sababu mbili:
Mstari 21: Mstari 21:
# dunia yetu ina [[angahewa]] yenye [[asilimia]] 78 ya [[naitrojini]], asilimia 21 ya [[oksijini]] na asilimia 1 ya aina nyinginezo za [[hewa]], na kwa sababu hii uhai na maisha yanamakinika katika [[ardhi]], kinyume na sayari nyinginezo.
# dunia yetu ina [[angahewa]] yenye [[asilimia]] 78 ya [[naitrojini]], asilimia 21 ya [[oksijini]] na asilimia 1 ya aina nyinginezo za [[hewa]], na kwa sababu hii uhai na maisha yanamakinika katika [[ardhi]], kinyume na sayari nyinginezo.


==Asili ya uhai na uenezi wake==
{{mbegu-sayansi}}
Inakadiriwa kwamba dunia ina miaka [[bilioni]] 4.54, na kwamba uhai uliweza kujitokeza juu yake walau miaka bilioni 3.5 iliyopita, baada ya ganda la la nje la dunia ilikauka. Ushahidi wa zamani zaidi ulipatikana huko [[Greenland]] (mabaki ya viumbe hai wa miaka bilioni 3.7 iliyopita). Hata hivyo wataalamu wengine wanakadiria miaka bilioni 4.25 na hata 4.4 iliyopita.

Jinsi uhai ulivyoweza kuanza haijajulikana, ingawa zimependekezwa [[dhana]] mbalimbali.

Hakika, baada ya kuanza, uhai umejitokeza kwa namna nyingi sana ambazo zimeainishwa na [[wanabiolojia]].

Uhai umeweza kustawi au kudumu katika mazingira tofauti sana, lakini zaidi ya 99% za [[spishi]] zote zilizowahi kutokea (zaidi ya bilioni 5) kwa sasa zimetoweka.

Makadirio kuhusu zile zilizopo yanataja spishi [[milioni]] 10 hadi 14: kati ya hizo, milioni 1.2 tu zimechunguzwa, wakati zaidi ya asilimia 90 bado.

{{mbegu-biolojia}}


[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Biolojia]]

Pitio la 18:57, 3 Juni 2015

Uhai kwa maana ya biolojia ni jumla ya tabia zinazotofautisha kiumbehai na maada kwa jumla. Hata hivyo kila uhai ulioweza kuchunguzwa na sayansi unapatikana pamoja na maada.

Kati ya tabia hizo kuna uwezo wa kushawishiwa na mazingira, kujipanga, kukua, metaboli na kuzaa. Kila tabia peke yake haifanyi uhai, kwa sababu mojamoja zinaweza kutokea pia kwa mata isiyo hai: fuwele zinakua, ulimi wa moto una umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha molekuli za nta pamoja na oksijeni ya hewani dioksidi kabonia na maji. Kwa hiyo ni jumla ya tabia zinazothibitisha uwepo wa uhai, lakini hadi leo wataalamu hawajapatana bado ni masharti gani yanayohitajika, kwa sababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote kwa pamoja.

Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai wanaopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa seli.

Dunia kama mahali pa uhai

Dunia yetu ni sayari pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo binadamu na viumbehai vingine wanaweza kuishi.

Kuna sababu mbili:

  1. dunia yetu ina umbali na jua unaofaa kwa maisha kwa sababu sayari zilizoko karibu zaidi na jua (k.m. Zuhura) zina joto kubwa mno na sayari zilizoko mbali zaidi kama Mrihi ni baridi mno.
  2. dunia yetu ina angahewa yenye asilimia 78 ya naitrojini, asilimia 21 ya oksijini na asilimia 1 ya aina nyinginezo za hewa, na kwa sababu hii uhai na maisha yanamakinika katika ardhi, kinyume na sayari nyinginezo.

Asili ya uhai na uenezi wake

Inakadiriwa kwamba dunia ina miaka bilioni 4.54, na kwamba uhai uliweza kujitokeza juu yake walau miaka bilioni 3.5 iliyopita, baada ya ganda la la nje la dunia ilikauka. Ushahidi wa zamani zaidi ulipatikana huko Greenland (mabaki ya viumbe hai wa miaka bilioni 3.7 iliyopita). Hata hivyo wataalamu wengine wanakadiria miaka bilioni 4.25 na hata 4.4 iliyopita.

Jinsi uhai ulivyoweza kuanza haijajulikana, ingawa zimependekezwa dhana mbalimbali.

Hakika, baada ya kuanza, uhai umejitokeza kwa namna nyingi sana ambazo zimeainishwa na wanabiolojia.

Uhai umeweza kustawi au kudumu katika mazingira tofauti sana, lakini zaidi ya 99% za spishi zote zilizowahi kutokea (zaidi ya bilioni 5) kwa sasa zimetoweka.

Makadirio kuhusu zile zilizopo yanataja spishi milioni 10 hadi 14: kati ya hizo, milioni 1.2 tu zimechunguzwa, wakati zaidi ya asilimia 90 bado.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhai kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.