Mamalia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 18: Mstari 18:
** Ngeli ya chini [[Eutheria]]
** Ngeli ya chini [[Eutheria]]
}}
}}
'''Mamalia''' ni [[wanyama]] ambao wanawanyonyesha watoto maziwa kwa kutumia viwele vyao. Wana [[damu moto]] na kupumua kwa mapafu.
'''Mamalia''' ni [[wanyama]] ambao wanawanyonyesha [[watoto]] wao [[maziwa]] kwa kutumia [[viwele]] vyao.


Wana [[damu moto]] na kupumua kwa [[mapafu]].
Kuna takriban [[spishi]] 5,400 za mamalia. Spishi 5 kati hizi wanataga mayai lakini wote wengine wanazaa watoto hai. Spishi ndogo ni aina ya [[popo]] mwenye urefu wa sentimita 4 pekee hadi [[nyangumi buluu]] mwenye urefu wa mita 33.

Kuna takriban [[spishi]] 5,400 za mamalia. Spishi 5 kati ya hizo wanataga ma[[yai]], lakini wengine wote wanazaa watoto hai.

Spishi ndogo ni aina ya [[popo]] mwenye [[urefu]] wa [[sentimita]] 4 pekee hadi [[nyangumi buluu]] mwenye urefu wa [[mita]] 33.


== Uainishaji ==
== Uainishaji ==
Mamalia hugaiwa kwa nusungeli mbili ambazo ni
Mamalia ni [[ngeli]] ya [[faila]] [[Kodata]].

* [[Prototheria]] ni mamalia wanaotaga mayai au kubeba watoto wao baada ya kuzaa ndani ya mfuko wa mwilini kwa muda
Ngeli yao hugawiwa katika [[nusungeli]] mbili:
* [[Prototheria]] ni mamalia wanaotaga mayai au kubeba watoto wao ndani ya mfuko wa mwilini kwa muda fulani baada ya kuzaa
* [[Eutheria]] ni mamalia wa kawaida na spishi nyingi zimo humo.
* [[Eutheria]] ni mamalia wa kawaida na spishi nyingi zimo humo.


Mstari 36: Mstari 42:


{{mbegu-biolojia}}
{{mbegu-biolojia}}
{{mbegu-mnyama}}
<!-- interwiki -->
<!-- interwiki -->


[[Jamii:Mamalia|*]]
[[Jamii:Mamalia|*]]
[[Jamii:Kodata]]

Pitio la 14:17, 2 Juni 2015

Mammalia
Kangaruu ni mamalia wa Australia
Kangaruu ni mamalia wa Australia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Chordata
Ngeli: Mammalia
Ngazi za chini

Mamalia ni wanyama ambao wanawanyonyesha watoto wao maziwa kwa kutumia viwele vyao.

Wana damu moto na kupumua kwa mapafu.

Kuna takriban spishi 5,400 za mamalia. Spishi 5 kati ya hizo wanataga mayai, lakini wengine wote wanazaa watoto hai.

Spishi ndogo ni aina ya popo mwenye urefu wa sentimita 4 pekee hadi nyangumi buluu mwenye urefu wa mita 33.

Uainishaji

Mamalia ni ngeli ya faila Kodata.

Ngeli yao hugawiwa katika nusungeli mbili:

  • Prototheria ni mamalia wanaotaga mayai au kubeba watoto wao ndani ya mfuko wa mwilini kwa muda fulani baada ya kuzaa
  • Eutheria ni mamalia wa kawaida na spishi nyingi zimo humo.

Picha

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamalia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.