Mfumo wa neva : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Gray797.png|thumb|right|250px|Mfumo wa neva ulivyoenea mwilini mwa [[binadamu]].]]
'''Mfumo wa neva''' ni sehemu ya [[mwili]] wa [[wanyama]] ambayo inaratibu matendo yake ya hiari na yasiyo ya hiari na kutuma taarifa kati ya viungo mbalimbali.
'''Mfumo wa neva''' ni sehemu ya [[mwili]] wa [[wanyama]] ambayo inaratibu matendo yake ya hiari na yasiyo ya hiari na kutuma taarifa kati ya viungo mbalimbali.



Pitio la 13:16, 2 Juni 2015

Mfumo wa neva ulivyoenea mwilini mwa binadamu.

Mfumo wa neva ni sehemu ya mwili wa wanyama ambayo inaratibu matendo yake ya hiari na yasiyo ya hiari na kutuma taarifa kati ya viungo mbalimbali.

Kwa mara ya kwanza tishu za neva zilitokea katika wadudu wa jamii ya minyoo (Ediacara biota) miaka milioni 550 hadi 600 hivi iliyopita.

Spishi nyingi za wanyama zina sehemu kuu mbili, sehemu ya kati ya neva na sehemu ya pembeni. Sehemu ya kati ya neva inajumuisha ubongo na mrija wa uti wa mgongo na sehemu ya pembeni inajumuisha neva zilizofungwa kwenye kambabando zilizounganishwa kwenye sehemu ya kati ya neva na sehemu nyingine za mwili.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfumo wa neva kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.