Mamalia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Picha: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ca}} (5) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 20: Mstari 20:
'''Mamalia''' ni [[wanyama]] ambao wanawanyonyesha watoto maziwa kwa kutumia viwele vyao. Wana [[damu moto]] na kupumua kwa mapafu.
'''Mamalia''' ni [[wanyama]] ambao wanawanyonyesha watoto maziwa kwa kutumia viwele vyao. Wana [[damu moto]] na kupumua kwa mapafu.


Kuna takriban [[spishi]] 5,400 za mamalia. Spishi 5 kati hizi wanatega mayai lakini wote wengine wanazaa watoto hai. Spishi ndogo ni aina ya [[popo]] mwenye urefu wa sentimita 4 pekee hadi [[nyangumi buluu]] mwenye urefu wa mita 33.
Kuna takriban [[spishi]] 5,400 za mamalia. Spishi 5 kati hizi wanataga mayai lakini wote wengine wanazaa watoto hai. Spishi ndogo ni aina ya [[popo]] mwenye urefu wa sentimita 4 pekee hadi [[nyangumi buluu]] mwenye urefu wa mita 33.


== Uainishaji ==
== Uainishaji ==

Pitio la 12:40, 30 Mei 2015

Mammalia
Kangaruu ni mamalia wa Australia
Kangaruu ni mamalia wa Australia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Chordata
Ngeli: Mammalia
Ngazi za chini

Mamalia ni wanyama ambao wanawanyonyesha watoto maziwa kwa kutumia viwele vyao. Wana damu moto na kupumua kwa mapafu.

Kuna takriban spishi 5,400 za mamalia. Spishi 5 kati hizi wanataga mayai lakini wote wengine wanazaa watoto hai. Spishi ndogo ni aina ya popo mwenye urefu wa sentimita 4 pekee hadi nyangumi buluu mwenye urefu wa mita 33.

Uainishaji

Mamalia hugawiwa kwa nusungeli mbili ambazo ni

  • Prototheria ni mamalia wanaotega mayai au kubeba watoto wao baada ya kuzaa ndani ya mfuko wa mwilini kwa muda
  • Eutheria ni mamalia wa kawaida na spishi nyingi zimo humo.

Picha

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamalia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamalia kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.