Dola-mji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Dola-mji''' ni [[dola]] ambalo eneo lake ni [[mji]] mmoja pekee.
'''Dola-mji''' ni [[dola]] ambalo eneo lake ni [[mji]] mmoja pekee.


Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Mwaka 2015 kulikuwa na miji mitatu duniani ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa. Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".
Katika [[historia]] kuna mifano mingi ya dola-miji. Mwaka [[2015]] kulikuwa bado na miji mitatu [[dunia]]ni ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa.
Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za [[shirikisho]] yanayoweza kuitwa "dola-mji".


== Dola-mji wa kujitegemea kabisa ==
== Dola-mji wa kujitegemea kabisa ==
Mstari 10: Mstari 12:
* [[Vatikano]]
* [[Vatikano]]


Wakati mwingi [[Kuwait]] huitwa pia "Dola-mji" kwa sababu karibu wakazi wote wa dola huishi katika mazingira ya Kuwait mjini. Lakini kuna miji midogo mingine nchini.
Wakati mwingi [[Kuwait]] huitwa pia "Dola-mji" kwa sababu karibu wakazi wote wa dola huishi katika [[mazingira]] ya Kuwait mjini. Lakini nchini kuna miji midogo mingine pia.


== Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho ==
== Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho ==
Mstari 24: Mstari 26:


== Dola-miji katika historia ==
== Dola-miji katika historia ==
Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati ambapo katika nchi fulani hakukuwa na [[serikali]] ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.

Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati katika nchi fulani hakuna serikali ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.


=== Dola-miji katika karne ya 20 ===
=== Dola-miji katika karne ya 20 ===
Karne ya 20 ilikuwa na dola-miiji kadhaa hasa kati ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia|vita kuu ya kwanza]] na ya [[vita kuu ya pili ya dunia|pili]].
[[Karne ya 20]] ilikuwa na dola-miji kadhaa, hasa kati ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia|vita kuu ya kwanza]] na ya [[vita kuu ya pili ya dunia|pili]].


* Fiume (Rijeka) katika [[Kroatia]] ya leo
* [[Fiume]] ([[Rijeka]]) katika [[Kroatia]] ya leo
* Trieste katika [[Italia]] ya leo
* [[Trieste]] katika [[Italia]] ya leo
* Danzig (Gdansk) katika [[Poland]] ya leo
* [[Danzig]] ([[Gdansk]]) katika [[Poland]] ya leo
* Memel (Klaipeda) katika [[Lithuania]] ya leo
* [[Memel]] ([[Klaipeda]]) katika [[Lithuania]] ya leo


=== Dola-miji ya zamani ===
=== Dola-miji ya zamani ===
* Miji ya [[Waswahili]] kwenye pwani la [[Afrika ya Mashariki]] ilikuwa dola-miji ya kujitegemea kama vile [[Mombasa]], [[Malindi]], [[Lamu]], [[Pate]] na [[Kilwa]]. Wakati mwingine utawala wao ulienea zaidi, lakini kimsingi ilikuwa kila mji unaotawala eneo lake.
* Miji ya [[Waswahili]] kwenye [[pwani]] ya [[Afrika ya Mashariki]] ilikuwa dola-miji ya kujitegemea kama vile [[Mombasa]], [[Malindi]], [[Lamu]], [[Pate]] na [[Kilwa]]. Wakati mwingine utawala wao ulienea zaidi, lakini kimsingi ilikuwa kila mji unaotawala eneo lake.


* Miji ya [[Uarabuni]] ilijitegemea kabisa kwa muda mrefu, kwa mfano [[Maka]] na [[Madina]]
* Miji ya [[Uarabuni]] ilijitegemea kabisa kwa muda mrefu, kwa mfano [[Maka]] na [[Madina]].


* [[Ugiriki ya Kale]] ilikuwa na dola-miji mingi. [[Athens]], [[Sparta]], [[Korintho]] zilikuwa kwa muda mrefu miji tu pamoja na vijiji vichache. Zilijaribu kupanuka hasa Athens ilifaulu.
* [[Ugiriki ya Kale]] ilikuwa na dola-miji kwa wingi. [[Athens]], [[Sparta]], [[Korintho]] zilikuwa kwa muda mrefu miji tu pamoja na vijiji vichache. Zilijaribu kupanuka, hasa Athens ilifaulu.


* Katika [[Italia]] ya [[nyakati za kati]] miji muhimu ilijitawala kabisa. Kati ya dola-miji iliyoweza kupanua eneo lao ni hasa [[Genova]] na [[Venesia]].
* Katika [[Italia]] ya [[nyakati za kati]] miji muhimu ilijitawala kabisa. Kati ya dola-miji iliyoweza kupanua eneo lao ni hasa [[Genova]] na [[Venezia]].


* [[Dola la Ujerumani]] lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]]. Mji wa [[Berlin]] ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.
* [[Dola la Ujerumani]] lilikuwa na dola-miji mingi hadi [[karne ya 19]]. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]]. Mji wa [[Berlin]] ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.


*[[Hanse]] ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na miji hii kwa jumla ilijitawala.
*[[Hanse]] ilikuwa shirikisho la miji ya [[biashara]] katika [[Ulaya]] ya Kaskazini na miji hii kwa jumla ilijitawala.


== Viungo vie nje ==
== Viungo vie nje ==

Pitio la 11:05, 26 Mei 2015

Dola-mji ni dola ambalo eneo lake ni mji mmoja pekee.

Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Mwaka 2015 kulikuwa bado na miji mitatu duniani ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa.

Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".

Dola-mji wa kujitegemea kabisa

Dola-mji wa kujitegemea kabisa ni:

Wakati mwingi Kuwait huitwa pia "Dola-mji" kwa sababu karibu wakazi wote wa dola huishi katika mazingira ya Kuwait mjini. Lakini nchini kuna miji midogo mingine pia.

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho ni kama mfano:

China si shirikisho lakini miji ya Hongkong na Makau ina madaraka makubwa ya kujitawala nje ya sheria za China bara.

Dola-miji katika historia

Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati ambapo katika nchi fulani hakukuwa na serikali ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.

Dola-miji katika karne ya 20

Karne ya 20 ilikuwa na dola-miji kadhaa, hasa kati ya vita kuu ya kwanza na ya pili.

Dola-miji ya zamani

  • Hanse ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na miji hii kwa jumla ilijitawala.

Viungo vie nje