Dola-mji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 54 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q133442 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Dola-mji''' ni [[dola]] ambalo eneo lake ni [[mji]] mmoja pekee.
'''Dola-mji''' ni [[dola]] ambalo eneo lake ni [[mji]] mmoja pekee.

Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Sasa (mnamo mwaka 2006) kuna mitatu pekee ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa. Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".
Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Mwaka 2015 kulikuwa na miji mitatu duniani ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa. Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".

== Dola-mji wa kujitegemea kabisa ==
== Dola-mji wa kujitegemea kabisa ==
Mstari 21: Mstari 21:
* [[Ceuta]] na [[Melilla]] ambayo ni miji ya kujitawala (ciudades autónomas) ya [[Hispania]]
* [[Ceuta]] na [[Melilla]] ambayo ni miji ya kujitawala (ciudades autónomas) ya [[Hispania]]

[[Uchina]] si shirikisho lakini miji ya [[Hongkong]] na [[Makau]] ina madaraka makubwa ya kujitawala nje ya sheria za Uchina bara.
[[China]] si shirikisho lakini miji ya [[Hongkong]] na [[Makau]] ina madaraka makubwa ya kujitawala nje ya sheria za China bara.

== Dola-miji katika historia ==
== Dola-miji katika historia ==
Mstari 28: Mstari 28:

=== Dola-miji katika karne ya 20 ===
=== Dola-miji katika karne ya 20 ===
Karne ya 20 ilikuwa na dola-miiji kadhaa hasa kati ya [[vita kuu ya pili ya dunia|vita kuu ya kwanza]] na ya [[vita kuu ya pili ya dunia|pili]].
Karne ya 20 ilikuwa na dola-miiji kadhaa hasa kati ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia|vita kuu ya kwanza]] na ya [[vita kuu ya pili ya dunia|pili]].

* Fiume (Rijeka) katika [[Kroatia]] ya leo
* Fiume (Rijeka) katika [[Kroatia]] ya leo
Mstari 45: Mstari 45:

* [[Dola la Ujerumani]] lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]]. Mji wa [[Berlin]] ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.

*[[Hanse]] ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na miji hii kwa jumla ilijitawala.

== Viungo vie nje ==
== Viungo vie nje ==

Pitio la 04:55, 26 Mei 2015

Dola-mji ni dola ambalo eneo lake ni mji mmoja pekee.

Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Mwaka 2015 kulikuwa na miji mitatu duniani ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa. Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".

Dola-mji wa kujitegemea kabisa

Dola-mji wa kujitegemea kabisa ni:

Wakati mwingi Kuwait huitwa pia "Dola-mji" kwa sababu karibu wakazi wote wa dola huishi katika mazingira ya Kuwait mjini. Lakini kuna miji midogo mingine nchini.

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho ni kama mfano:

China si shirikisho lakini miji ya Hongkong na Makau ina madaraka makubwa ya kujitawala nje ya sheria za China bara.

Dola-miji katika historia

Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati katika nchi fulani hakuna serikali ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.

Dola-miji katika karne ya 20

Karne ya 20 ilikuwa na dola-miiji kadhaa hasa kati ya vita kuu ya kwanza na ya pili.

  • Fiume (Rijeka) katika Kroatia ya leo
  • Trieste katika Italia ya leo
  • Danzig (Gdansk) katika Poland ya leo
  • Memel (Klaipeda) katika Lithuania ya leo

Dola-miji ya zamani

  • Dola la Ujerumani lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni Hamburg na Bremen. Mji wa Berlin ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.
  • Hanse ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na miji hii kwa jumla ilijitawala.

Viungo vie nje