Uhai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uhai''' kwa maana ya biolojia ni jumla ya tabia zinazotofautisha kiumbehai na maada kwa jumla. Kila uhai ulioweza kutazamiwa na sayansi unapatikana p...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{multiple image
'''Uhai''' kwa maana ya [[biolojia]] ni jumla ya tabia zinazotofautisha [[kiumbehai]] na maada kwa jumla. Kila uhai ulioweza kutazamiwa na sayansi unapatikana pamoja na maada.
| align = right
| direction = vertical
| width = 220
| image1 = Hoh rain forest trees.jpg
| caption1 = [[Mti]] ukikua katika [[Hoh Rainforest]]
| image2 = Grand prismatic spring.jpg
| caption2 = Picha toka angani ya [[mikrobi]] kwenye [[Grand Prismatic Spring]] huko [[Yellowstone National Park]]
}}
'''Uhai''' kwa maana ya [[biolojia]] ni jumla ya [[tabia]] zinazotofautisha [[kiumbehai]] na [[maada]] kwa jumla. Kila uhai ulioweza kutazamiwa na [[sayansi]] unapatikana pamoja na maada.


Kati ya tabia hizi ni uwezo wa kushawishika na mazingira, kujipanga, kukua, [[metaboli]] na kuzaa. Kila tabia pekee yake haifanyi uhai kwa sababu moja-moja zinaweza kutokea pia kwa mata isiyo hai: [[fuwele]] zinakua, ulimi wa moto ina umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha molekuli za nta pamoja na oksijeni ya hewani dioksidi kabonia na maji. Kwa hiyo ni jumla ya tabia lakini kwa sababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote wka pamoja kumbe hadi leo wataalamu hawakupatana bado ni masharti gani yanayohitaji kuwepo kwa "uhai".
Kati ya tabia hizo kuna ni uwezo wa kushawishiwa na [[mazingira]], kujipanga, kukua, [[metaboli]] na kuzaa. Kila tabia peke yake haifanyi uhai, kwa sababu mojamoja zinaweza kutokea pia kwa [[mata]] isiyo hai: [[fuwele]] zinakua, [[ulimi wa moto]] una umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha [[molekuli]] za [[nta]] pamoja na [[oksijeni]] ya [[hewa]]ni [[Dioksidi kabonia|dioksidi kabonia]] na [[maji]]. Kwa hiyo ni jumla ya tabia, lakini kwa sababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote kwa pamoja kumbe hadi leo [[wataalamu]] hawajapatana bado ni ma[[sharti]] gani yanayohitajika ili kuwepo kwa "uhai".


Uhai unpatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa [[seli]].
Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa [[seli]].


{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:biolojia]]

[[Jamii:Biolojia]]

Pitio la 11:00, 21 Mei 2015

Mti ukikua katika Hoh Rainforest

Uhai kwa maana ya biolojia ni jumla ya tabia zinazotofautisha kiumbehai na maada kwa jumla. Kila uhai ulioweza kutazamiwa na sayansi unapatikana pamoja na maada.

Kati ya tabia hizo kuna ni uwezo wa kushawishiwa na mazingira, kujipanga, kukua, metaboli na kuzaa. Kila tabia peke yake haifanyi uhai, kwa sababu mojamoja zinaweza kutokea pia kwa mata isiyo hai: fuwele zinakua, ulimi wa moto una umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha molekuli za nta pamoja na oksijeni ya hewani dioksidi kabonia na maji. Kwa hiyo ni jumla ya tabia, lakini kwa sababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote kwa pamoja kumbe hadi leo wataalamu hawajapatana bado ni masharti gani yanayohitajika ili kuwepo kwa "uhai".

Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa seli.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhai kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.