Maporomoko ya Niagara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ast}} (2) using AWB (10903)
kiungo
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Niagara3573.jpg|thumb|Maporomoko ya Niagara (Horseshoe Falls)]]
[[Picha:Niagara3573.jpg|thumb|Maporomoko ya Niagara (Horseshoe Falls)]]
'''Maporomoko ya Niagara (Niagara Falls)''' ni mfululizo wa maporomoko ya [[mto Niagara]] yaliyopo mpakani mwa [[Kanada]] na [[Marekani]] kati ya [[Ziwa Erie]] na [[Ziwa Ontario]]. Ni maporomoko makubwa ya Amerika ya Kaskazini.
'''Maporomoko ya Niagara (Niagara Falls)''' ni mfululizo wa [[maporomoko ya maji]] kwenye [[mto Niagara]] yaliyopo mpakani mwa [[Kanada]] na [[Marekani]] kati ya [[Ziwa Erie]] na [[Ziwa Ontario]]. Ni maporomoko makubwa ya Amerika ya Kaskazini.


Wenyeji hutofautisha maporomoko matatu
Wenyeji hutofautisha maporomoko matatu

Pitio la 18:09, 18 Mei 2015

Maporomoko ya Niagara (Horseshoe Falls)

Maporomoko ya Niagara (Niagara Falls) ni mfululizo wa maporomoko ya maji kwenye mto Niagara yaliyopo mpakani mwa Kanada na Marekani kati ya Ziwa Erie na Ziwa Ontario. Ni maporomoko makubwa ya Amerika ya Kaskazini.

Wenyeji hutofautisha maporomoko matatu

  • Horseshoe Falls (maporomoko ya mguu wa farasi, yanaitwa pia maporomoko ya Kikanada)
  • Maporomoko ya Kimarekani
  • Maporomoko ya Bridal Veil (utaji wa bibi arusi)

Ni kitovu cha utalii katika Amerika ya Kaskazini kinachotembelewa na watalii wngi sana.

Kuna miji miwili inayoitwa Niagara Falls upande wa Kanada na mwingine upande wa Marekani.


Tazama pia

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: