Rukia yaliyomo

Eneo la kudhaminiwa : Tofauti kati ya masahihisho

84 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
[[Picha:League of Nations mandate Pacific.png|300px|thumbnail|Maeneo ya kudhaminiwa katika Pasifiki]]
Kundi hili lilijumlisha maeneo mengine yaliyokuwa chini ya Ujerumani pamoja na
* Afrika ya Kusini-Magharibi ikatawaliwa na [[Afrika Kusini]] kama sehemu ya nchi hii ikapata uhuru kama [[Namibia]] mwaka [[1990]].
* [[Guinea Mpya]] ikatawaliwa na [[Australia]] pamoja na koloni yakelake yala [[Papua]] zikapata uhuru pamoja kama [[Papua Guinea Mpya]] mwaka [[1975]]
* [[Samoa Magharibi]] ikatawaliwa na [[New Zealand]] ikapata uhuru kama [[Samoa]] mwaka [[1962]]
* [[Nauru]] ikatawaliwa na Australia, Uingereza na New Zealand pamoja, ikapata uhuru wake mwaka [[1968]]
* visiwa vifuatavyo vilitawaliwa na [[Japani]] hadi mwaka [[1945]] na baadaye zilisimamiwa na [[Marekani]]:
** [[Visiwa vya Mariana ya Kaskazini]] - iliamuaviliamua mwaka [[1978]] kubaki kama eneo linaloshirikishwa na Marekani
** [[Visiwa vya Marshall]] - ikapatavikapata uhuru mwaka [[1979]]
** [[Palau]] - ikapata uhuru mwaka [[1981]]
** [[Funguvisiwa ya Karolini]] iliyopata uhuru kama [[Shirikisho la Mikronesia]] mwaka [[1986]]
 
Marshall, Palau na Mikronesia vyote vina mikataba ya ushirikiano na Marekani.
 
== Athira ya hali ya kisheria kwa maisha ya koloni ==
Maeneo ya kudhaminiwa ya B) yalitendewa kama makoloni ya kawaida. Lakini masharti ya udhamini yalikuwa muhimu kwa maazimio ya serikali ya kikoloni hasa baada ya 1946.
 
Katika [[Tanganyika]] upinzani wa Umoja wa Mataifa mwaka 1946 ulizuia mipango ya kuunganisha Tanganyika na Kenya uliyopingwa wakati ule na wenyeji wengi kwa sababu Kenya ilijadiliwa kuwa koloni Lala [[walowezi]] [[Wazungu]] hasa.
 
Vilevile maswali ya kamati ya UM yalikuwa na athira katika suala la [[ardhi]] ya Waafrika na kupanua ardhi mikononi mwa walowezi Wazungu. Masharti ya udhamini yalidai ya kwamba Uingereza kama mlezi utatunza [[ardhi]] ya wazalendo. Hata hivyo Uingereza ulitumia sheria iliyoangalia ardhi isiyolimwa kama [[mali]] ya serikali iliyoweza kukabidhiwa kwa walowezi. Sheria hii haikuheshimu utaratibu wa [[kilimo]] cha ki[[jadi]] ambako ma[[shamba]] yalihamishwa kila baada ya miaka kadhaa. Kwa njia ya sheria hizo serikali za kikoloni zilitwaa sehemu kubwa ya ardhi ya kimapokeo ya vijiji. Kwa hiyo Uingereza ilikuwa na njia za kupita masharti ya udhamini.