Tofauti kati ya marekesbisho "Eneo la kudhaminiwa"

Jump to navigation Jump to search
232 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
(picha)
[[Picha:League_of_Nations_mandate_Middle_East_and_Africa.png|thumb|380px|'''Maeneo ya kudhaminiwa''' <br /> 1 Syria (Ufaransa) - 2 Lebanon (Ufaransa) – 3 Palestina (Uingereza) – 4 Ng’ambo ya Yordani (Uingereza) - 5 Irak ((Uingereza) - 6 Togo (Uingereza) - 7 Togo (Ufaransa) – 8 Kamerun (Uingereza) - 9 Kamerun (Ufaransa) - 10 Ruanda-Urundi (Ubelgiji) - 11 Tanganyika (Uingereza) - 12 Afrika ya Kusini-Magharibi (Afrika Kusini)]]
'''Eneo la kudhaminiwa''' lilikuwa eneo lililokabidhiwa na umma wa kimataifa mkononimikononi mwa nchi iliyotakiwa kulisimamia. Maeneo hayahayo yalianzishwa mwaka [[1919]] katika [[Mkataba wa Versailles]] uliounda [[Shirikisho la Mataifa]] lililokuwa mtangulizi wa [[Umoja wa Mataifa]] wa leo.
 
Nchi tawala za maeneo ya kuadhiminiwa zilipokea maeneo yale chini ya [[sharti|masharti]] ya [[katiba]] ya Shirikisho la Mataifa zikatakiwa kutoa taarifa za kila mwaka na kuyaandaa kwa [[uhuru]] wa kisiasa. Hali halisi maeneo ya kudhaminiwa yalitendewa kama koloni za kawaida kwa miaka mingi. Baada ya 1945 shirikisho la mataifa lilikwisha na usimamizi mkuu ulipitia mkononi mwa Umoja wa Mataifa. Wakati ule jina la maeneo ya kudhaminiwa kwa lugha ya Kiingereza likabadilishwa kutoka "mandate" au "mandated territory" kuwa "trust territory" lakini maana ya maneno haya ni yaleyale.
 
Hali halisi maeneo ya kudhaminiwa yalitendewa kama [[Koloni|makoloni]] ya kawaida kwa miaka mingi.
 
Baada ya mwaka [[1945]] Shirikisho la Mataifa lilikwisha na usimamizi mkuu ulipitia mikononi mwa Umoja wa Mataifa. Wakati ule jina la maeneo ya kudhaminiwa kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] likabadilishwa, kutoka "mandate" au "mandated territory" kuwa "trust territory", lakini maana ya maneno haya ni yaleyale.
 
Maeneo yote yamepata uhuru. Mfano wa pekee ni [[Israel]] na [[Palestina]] ambako hadi leo hakuna utaratibu wa kudumu katika eneo la kudhaminiwa la zamani.
 
== Kuanzishwa kwa maeneo ya kudhaminiwa ==
Maeneo ya kudhaminiwa yalianzishwa mwaka 1919 katika [[Mkataba wa Versailles]]. Mkataba uliweka utaratibu mpya wa kimataifa baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Nchi zilizoshindwa katika vita hii, hasa [[Dola la Ujerumani]], [[Austria-Hungaria]] na [[Milki ya Osmani]] ([[Uturuki]]) zilipotea maeneo makubwa. Sehemu ya maeneo haya yalipewa nafasi ya kuwa nchi huru moja kwa moja, kwa mfano nchi kama [[Hungaria]], [[Romania]] au [[Chekoslovakia]].
 
Mengine yalitazamiwayalitazamwa kamakutokuwa bado tayari kwa uhuru, hasa kolonimakoloni zaya [[Ujerumani]] na maeneo ya [[Waarabu]] chini ya Milki ya Osmani. Yaligawiwa kwa jumla kati ya [[Uingereza]] na [[Ufaransa]]; [[Ubelgiji]] na [[Japani]] ilipatazilipata pia maeneo madogo.
 
== Katiba ya Shirikisho la Mataifa juu ya maeneo ya kudhaminiwa ==
Kifungu 22 cha katiba ya Shirikisho la Mataifa lilieleza:
 
"KoloniMakoloni na maeneo ambayo, kutokana na matokeo ya vita iliyopita, si tena chini ya mataifa yaliyowahi kuyatawala, yakikaliwa na mataifa ambayo badosi nibado tayari kujisimamia katika [[mazingira]] magumu ya [[dunia]] ya kisasa yatatazamiwa kuwa [[udhamini]] wa [[ustaarabu]] wa kimataifa... Njia bora ya kutekeleza nia hii itakuwa kukabidhi [[malezi]] ya mataifa hayahayo mkononimikononi mwa mataifa yaliyoendelea ... ambayo ni tayari kukubali ulezi huu kama wakabidhi kwa niaba ya shirikisho la mataifa."
KatikaKatiba ikaendelea kutofautisha kati ya maeneo kama ifuatayo:
 
"Jumuiya kadhaa zilizokuwa chini ya Milki ya Uturuki zimefikia kwenye ngazi ambako zinaweza kukubaliwa kama mataifa ya pekee, lakini bado chini ya usimamizi wa nchi mlezi hadi wakati zitakapoweza kusimama pekee zao. Jumuiya hizi zinapaswa kusikilizwa kuhusu chaguo la nchi mlezi."
 
"Mataifa mengine, hasa ya [[Afrika ya Kati]], yako katika hali ya kwamba mlezi atawajibika kutawala maeneo yao kwa masharti ya kuhakikisha [[uhuru wa dhamiradhamiri]] na [[uhuru wa dini|wa dini]], kutunza [[usalama]] na [[maadili]] mema na kuzuia [[dhuluma]] kama [[biashara ya watumwa]], [[silaha]] na [[vileo]]."
 
""Halafu kuna maeneo, kama vile [[Afrika ya Kusini-Magharibi]] na visiwa kadhaa vya [[Pasifiki]] ya kusini, ambayo yatasimamiwa na mlezi kulingana na [[sheria]] zake kama sehemu ya eneo lake kwa sababu yana wakazi wachache mno au ni madogo mno au yako mbali mno na vitovu vya ustaarabu. Hata hivyo utawala huu unapaswa kuangalia masharti yaliyotajwa hapo juu kuhusu masharti yanayotunza wakazi wazalendo."
 
Vipengele hivi vilianzisha muundo wa maeneo ya kudhaminiwa kwenye ngazi za A), B) na C). ManeoMaeneo ya kudhaminiwa ya A) yalipata kiwango cha [[utawala wa ndani]] tangu mwanzo, yakapewa [[uhuru]] kati ya [[1932]] na [[1946]].
 
=== Maeneo ya kudhaminiwa ya kundi A) ===
* [[Mesopotamia]] iliendelea kupata uhuru kama ufalme wa [[Irak]] (1932)
* [[Palestina]] iligawiwa katika maeneo ya
** NgamboNg'ambo ya Yordani iliyoendelea kupata uhuru kama ufalme wa [[Yordani]] (1946) na
** Palestina yenyewe ambamo sehemu kubwa ilipata uhuru 1949 kama nchi ya Israel wakati sehemu zilizobaki ziliendelea kuwa maeneo ya [[Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina]].
 

Urambazaji