Tofauti kati ya marekesbisho "Burundi"

Jump to navigation Jump to search
96 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
Burundi ilundwa kama ufalme ulioongozwa na Watutsi waliotawala Wahutu. Lakini kabla ya ukoloni mipaka kati ya vikundi hivi havikuwa imara mno; Wahutu matajiri katika utumishi wa mwami waliweza kupanda ngazi an kuwa Watutsi na pia Watutsi maskini waliweza kushuka ngazi na kuhesabiwa kati ya Wahutu, hasa baada ya kuoa au kuolewa na mtu wa upande mwingine. Uhusiano wa vikundu ulifanana zaidi ule wa matabaka si makabila.
 
Utawala wa kikoloni uliimarisha mipaka kati ya makundi mawili maana kila mtu aliandikishwa na kupangwa katika moja wa vikundi hivi. Pia Wabelgiji walipendelea Watutsi na kuangalia wapate nafasi zote za uchifu ambako walipaswa kutoa kibali. Kuhamia kati ya vikundi kulikwisha. MwishoweUhusiano wakati ukoloniya sehemuvikundi yaulianza Wabelgijizaidi walibadilisha msimamokufanana na kupendeleaukabila. Wahutu.
 
Mwishowe wa ukoloni sehemu ya Wabelgiji walibadilisha msimamo na kupendelea Wahutu.
Katika hali hii Burundi ilikaribia uhuru. Vyama vya kisiasa viliundwa vilivyofuata ugawaji wa kimbari kati Tutsi na Hutu. Mapigano ya kwanza kati ya Wahutu na Watutsi yalianza 1959, kabla ya uhuru yakikomeshwa na Wabelgiji.
 
Katika hali hii Burundi ilikaribia uhuru. Vyama vya kisiasa viliundwa vilivyofuata ugawaji wa kimbari kati Tutsi na Hutu. Mapigano ya kwanza kati ya Wahutu na Watutsi yalianza 1959, kabla ya uhuru yakikomeshwa na Wabelgiji.
Baada ya uhuru katika Burundi kinyume na Rwanda utawala ulibaki upande wa Watutsi kwa sababu jeshi lilikuwa mkononi mwao. Vipindi vya mashambulio kati ya vikundi vilifuata.1972 malakhi ya Wahutu waliuawa na jeshi la Kitutsi. 1993 uongozi wa Kitutsi ilikubali tena uchaguzi huru ambako Mhutu Melchior Ndadaye alichaguliwa kuwa raisi. Alipouawa na wanajeshi Watutsi malakhi ya Watutsi waliuawa na Wahutu wakali.
 
Baada ya uhuru katika Burundi kinyume na Rwanda utawala ulibaki upande wa Watutsi kwa sababu jeshi lilikuwa mkononi mwao. Vipindi vya mashambulio kati ya vikundi vilifuata.1972 malakhi ya Wahutu waliuawa na jeshi la Kitutsi waliolenga hasa Wahutu wenye elimu. 1993 uongozi wa Kitutsi ilikubali tena uchaguzi huru ambako Mhutu Melchior Ndadaye alichaguliwa kuwa raisi. Alipouawa na wanajeshi Watutsi malakhi ya Watutsi waliuawa na Wahutu wakali.
 
Kipindi kilichofuata kilikuwa vita ya wenyewe ya wenyewe katika sehemu mbalimbali za nchi. Tangu mwaka 1995 Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa zilijitahidi kujenga mapatano kati ya vikundi. Boutros Boutros-Ghali for them to intervene in the humanitarian crisis. Maraisi na wanasiasa walioshiriki katika jitihada hizi walikuwa pamoja na [[Julius Nyerere]], [[Boutros Boutros-Ghali]], [[Nelson Mandela]], [[Thabo Mbeki]] na rais wa Marekani [[Bill Clinton]].

Urambazaji