Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
fomati
No edit summary
Mstari 8: Mstari 8:
image_map = LocationBurundi.png |
image_map = LocationBurundi.png |
national_anthem = [[Burundi bwacu]] |
national_anthem = [[Burundi bwacu]] |
official_languages = [[Kirundi]], [[Kifaransa]] [[Kiswahili]] |
official_languages = [[Kirundi]], [[Kifaransa]] [[Kiingereza]] |
capital = [[Bujumbura]] |
capital = [[Bujumbura]] |
latd=3|latm=30|latNS=S|longd=30|longm=00|longEW=E|
latd=3|latm=30|latNS=S|longd=30|longm=00|longEW=E|
government_type = Jamhuri |
government_type = Jamhuri |
leader_titles = [[Raisi wa Burundi|Raisi]] |
leader_titles = [[Rais wa Burundi|Rais]] |
leader_names = [[Pierre Nkurunziza]] |
leader_names = [[Pierre Nkurunziza]] |
largest_city = [[Bujumbura]] |
largest_city = [[Bujumbura]] |
area = 27,830 |
area = 27,834 |
areami² = 10,745 | <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
areami² = 10,745 | <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
area_rank = 142nd |
area_rank = 145th |
area_magnitude = 1 E10 |
area_magnitude = 1 E10 |
percent_water = 7.8% |
percent_water = 7.8% |
population_estimate = 6,054,714 |
population_estimate = 10,395,931 |
population_estimate_year = 2003 |
population_estimate_year = 2014 |
population_estimate_rank = 99th |
population_estimate_rank = 86th |
population_census = 3,589,434 |
population_census = 8,053,574 |
population_census_year = 1978 |
population_census_year = 2008 |
population_density = 206.1 |
population_density = 314.3 |
population_densitymi² = 533.8 | <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
population_densitymi² = 814.2 | <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
population_density_rank = 52 |
population_density_rank = 45 |
Ethnic_groups = [[Wahutu]] 85%, [[Watusi]], Twa, wengine. |
Ethnic_groups = [[Wahutu]] 85%, [[Watusi]] 14%, Twa 1%, wengine. |
Ethnic_groups_year = 2006 |
Ethnic_groups_year = 2006 |
GDP_PPP_year = 2003 |
GDP_PPP_year = 2014 |
GDP_PPP = 4,517<sup>1</sup> |
GDP_PPP = 8.396<sup>1</sup> |
GDP_PPP_rank = 142 |
GDP_PPP_rank = 142 |
GDP_PPP_per_capita = 627 |
GDP_PPP_per_capita = 912.496 |
GDP_PPP_per_capita_rank = 163 |
GDP_PPP_per_capita_rank = 163 |
HDI_year = 2003 |
HDI_year = 2003 |
Mstari 58: Mstari 58:
'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''Urundi''') ni nchi ndogo ambayo iko katika [[Nchi za Maziwa Makuu|eneo la Maziwa Makubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa [[kaskazini]], [[Tanzania]] upande wa [[mashariki]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa [[magharibi]].
'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''Urundi''') ni nchi ndogo ambayo iko katika [[Nchi za Maziwa Makuu|eneo la Maziwa Makubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa [[kaskazini]], [[Tanzania]] upande wa [[mashariki]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa [[magharibi]].


Burundi ni mwanachama wa [[Umoja wa Afrika]] na wa [[Jumuiya ya Afrika]]. MAshariki.
Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa [[lugha]] ya [[Kirundi]] ambacho ni [[lugha ya Kibantu]].

==Jina==
Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa [[lugha]] ya [[Kirundi]] ambacho ni [[lugha ya Kibantu]] kama vile Kiswahili ambacho pia kinatumika sana ingawa si [[lugha rasmi]] mojawapo.


== Jiografia ==
== Jiografia ==
Burundi ni kati ya nchi ndogo zaidi zilizomo barani [[Afrika]]. Wakazi [[milioni]] 10 ni wengi kulingana na eneo dogo la nchi, [[msongamano]] wa watu ni wakazi 379 kwenye kila [[km²|kilomita ya mraba]].
Burundi ni kati ya nchi ndogo zaidi zilizomo barani [[Afrika]]. Wakazi [[milioni]] 10 ni wengi kulingana na eneo dogo la nchi, [[msongamano]] wa watu ni wakazi 314.3 kwenye kila [[km²|kilomita ya mraba]].


Ingawa Burundi haina [[bahari]], sehemu ya [[mpaka]] wake eneo la mashariki unaishia kwenye [[mwambao]] wa [[Ziwa Tanganyika]].
Ingawa Burundi haina [[bahari]], sehemu ya [[mpaka]] wake eneo la mashariki unaishia kwenye [[mwambao]] wa [[Ziwa Tanganyika]].
Mstari 78: Mstari 81:


== Hali ya nchi kijamii na kisiasa ==
== Hali ya nchi kijamii na kisiasa ==
Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya ki[[siasa]] na ya ki[[jamii]]. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina [[maliasili]] ya kutosheleza [[umma]] na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] na walio wachache [[Watutsi]] na [[Watwa]]. Pia kuna [[kabila]] la [[Warundi]] wanaojinasibu kuwa wao sio Watutsi wala Wahutu bali ni [[Waswahili]]. Hilo kabila la Waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na ndio wenyeji wa [[jiji]] la [[Bujumbura]], waliomsaidia [[Mwanamfalme]] [[Louis Rwagasore]] katika [[harakati]] za kutafuta [[uhuru]] wa Burundi.
Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya ki[[siasa]] na ya ki[[jamii]]. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina [[maliasili]] ya kutosheleza [[umma]] na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] (85%) na walio wachache [[Watutsi]] (14%) na [[Watwa]] (1%).
Pia kuna [[Warundi]] wanaojinasibu kuwa wao sio Watutsi wala Wahutu bali ni [[Waswahili]]. Hilo kabila lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na ndio wenyeji wa [[jiji]] la [[Bujumbura]], waliomsaidia [[Mwanamfalme]] [[Louis Rwagasore]] katika [[harakati]] za kutafuta [[uhuru]] wa Burundi.

Upande wa [[dini]], [[Wakristo]] ni 80-90% kati ya wakazi wote, hasa [[Wakatoliki]] (65%), halafu Waprotestanti (26%). [[Asilimia]] 5 wanafuata [[dini za jadi]] na 3 [[Uislamu]].


== Historia ==
== Historia ==
Mstari 96: Mstari 103:


== Utawala ==
== Utawala ==
Burundi imegawiwa katika [[mikoa]] 18 (kwa [[Kifaransa]] province, kwa [[Kirundi]]: IProvense) inayoitwa kufuatana na miji yenye [[makao makuu]] ya [[utawala]].
Burundi imegawiwa katika [[mikoa]] 17 (kwa [[Kifaransa]] province, kwa [[Kirundi]]: IProvense) inayoitwa kufuatana na miji yenye [[makao makuu]] ya [[utawala]].


<nowiki>*</nowiki>Angalia [[Mikoa ya Burundi]]
<nowiki>*</nowiki>Angalia [[Mikoa ya Burundi]]
Mstari 102: Mstari 109:
Mikoa imegawiwa kwa wilaya inayoitwa "communes" na hii imegawiwa kwa "collines" (vilima).
Mikoa imegawiwa kwa wilaya inayoitwa "communes" na hii imegawiwa kwa "collines" (vilima).


== Watu na Utamaduni ==
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya miji ya Burundi]]
* [[Orodha ya mikoa ya Burundi]]
* [[Orodha ya Marais wa Burundi]].
* [[Kadanda Burundi]]
* [[Kadanda Burundi]]
* [[Waandishi Wa Afrika (Kwa nchi)#Burundi|orodha ya waandishi kutoka Burundi]]
* [[Waandishi wa Afrika (kwa nchi)#Burundi]]
* [[Muziki wa Burundi]]
* [[Muziki wa Burundi]]

== Utafiti ==
* [[Mawasiliano nchini Burundi]]
* [[Mawasiliano nchini Burundi]]
* [[Mahusiano ya Kimataifa Burundi]]
* [[Mahusiano ya Kimataifa Burundi]]
Mstari 113: Mstari 121:
* [[Usafiri nchini Burundi]]
* [[Usafiri nchini Burundi]]


==Tanbihi==
''Mambo mengi ya Burundi yamepatikana kutoka [[CIA World Factbook]] 2000 na 2003 U.S. Department of State website.''
{{marejeo}}


== Kichunguzi ==
==Marejeo==
*Mambo mengi ya Burundi yamepatikana kutoka [[CIA World Factbook]] 2000 na 2003 U.S. Department of State website.
* [http://www.state.gov/r/pa/ei/bgn/2821.htm]

== Ongezea masomo kwa wingi ==
* ''Burundi: Ethnic Conflict and Genocide'' Reni Lemarchand and Lee H. Hamilton
* ''Burundi: Ethnic Conflict and Genocide'' Reni Lemarchand and Lee H. Hamilton

== Tazama pia ==
* [[Orodha ya miji ya Burundi]]
* [[Orodha ya mikoa ya Burundi]]
* [[Orodha ya Marais wa Burundi]].

==Tanbihi==
{{marejeo}}


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
Mstari 133: Mstari 132:
=== Serikali ===
=== Serikali ===
* {{fr}} [http://www.burundi.gov.bi/ Tovuti ya serikali ya Burundi]
* {{fr}} [http://www.burundi.gov.bi/ Tovuti ya serikali ya Burundi]
* [http://www.state.gov/r/pa/ei/bgn/2821.htm]

=== Habari ===
=== Habari ===
* {{fr}} [http://www.abp.info.bi/ Agence Burundaise de Presse (ABP)]
* {{fr}} [http://www.abp.info.bi/ Agence Burundaise de Presse (ABP)]
Mstari 164: Mstari 163:
[[Jamii:Burundi|*]]
[[Jamii:Burundi|*]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa]]

Pitio la 14:12, 10 Mei 2015

Burundi
Map of Burundi
Satellite image of Burundi
NASA photo of Burundi

Jamhuri ya Burundi (iliyojulikana zamani kama Urundi) ni nchi ndogo ambayo iko katika eneo la Maziwa Makubwa ya Afrika. Burundi imepakana na Rwanda upande wa kaskazini, Tanzania upande wa mashariki, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi.

Burundi ni mwanachama wa Umoja wa Afrika na wa Jumuiya ya Afrika. MAshariki.

Jina

Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa lugha ya Kirundi ambacho ni lugha ya Kibantu kama vile Kiswahili ambacho pia kinatumika sana ingawa si lugha rasmi mojawapo.

Jiografia

Burundi ni kati ya nchi ndogo zaidi zilizomo barani Afrika. Wakazi milioni 10 ni wengi kulingana na eneo dogo la nchi, msongamano wa watu ni wakazi 314.3 kwenye kila kilomita ya mraba.

Ingawa Burundi haina bahari, sehemu ya mpaka wake eneo la mashariki unaishia kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika.

Eneo lote ni nyanda za juu zenye kimo cha mita 1700 juu ya UB kwa wastani. Sehemu ya juu zaidi ni kilele cha mlima Heha chenye mita 2685 juu ya uwiano wa bahari uliopo katika safu ya milima inayopakana na bonde la ufa la Afrika ya Mashariki.

Sehemu ya magharibi ya nchi ni sehemu ya bonde la ufa yenye kimo cha mita 760-850 juu ya uwiano wa bahari. Sehemu ya kusini ya bonde la ufa katika Burundi imejaa maji ya Ziwa Tanganyika.

Upande wa mashariki wa safu ya milima inayopakana na bonde la ufa kuna chanzo cha mto Ruvyironza (pia: Luvironza) unaoishia katika mto Kagera na hivyo huhesabiwa kati ya vyanzo vya mto Naili.[1]

Hali ya hewa ni ya kitropiki: kuna vipindi viwili vya mvua. Joto linapungua kutokana na kimo cha nchi. Kuna mvua kwa wastani wa milimita 1,000 kwa mwaka.

Matumizi ya ardhi ni kwa ajili ya kilimo au mifugo. Msongamano wa watu umesababisha kuenea kwa ukataji wa misitu, mmomonyoko wa ardhi na kupotea kwa ardhi yenye rutuba[2]. Eneo la misitu lililobaki ni kilomita cha mraba 600 pekee linalopungua kwa kasi ya asilimia 9 kwa mwaka[3].

Kuna hifadhi mbili za taifa ambazo ni Hifadhi ya Taifa ya Kibira kwenye kaskazini-magharibi (inapakana na Msitu wa Nyungwe huko Rwanda), na Hifadhi ya Taifa ya Ruvubu upande wa kaskazni-mashariki karibu na mto Rurubu (pia Ruvubu au Ruvuvu). Hifadhi zote mbili zilianzishwa mwaka 1982 kwa shabaha ya kuhifadhi wanyamapori[4].

Hali ya nchi kijamii na kisiasa

Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasa na ya kijamii. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina maliasili ya kutosheleza umma na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi Wahutu (85%) na walio wachache Watutsi (14%) na Watwa (1%).

Pia kuna Warundi wanaojinasibu kuwa wao sio Watutsi wala Wahutu bali ni Waswahili. Hilo kabila lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na ndio wenyeji wa jiji la Bujumbura, waliomsaidia Mwanamfalme Louis Rwagasore katika harakati za kutafuta uhuru wa Burundi.

Upande wa dini, Wakristo ni 80-90% kati ya wakazi wote, hasa Wakatoliki (65%), halafu Waprotestanti (26%). Asilimia 5 wanafuata dini za jadi na 3 Uislamu.

Historia

Ufalme wa Burundi

Dola la kwanza katika eneo hili lilikuwa Ufalme wa Burundi. Katika mapokeo ya wenyeji ulianzishwa katika karne ya 17 na mtu kwa jina la Cambarantama aliyefika ama kutoka Rwanda ama kutoka Buha katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania ya leo.

Ufalme huo ulitawaliwa na kundi la Watutsi waliokuwa wafugaji wa ng'ombe na kutawala wenyeji waliokuwa wakulima Wabantu. Watutsi walikuwa tabaka la kikabaila. Mfalme au mwami alikuwa mkuu wa makabaila hao ambao walitazamiwa kama mabwana wa ardhi iliyolimwa na watu wa kawaida. Hao wakulima waliruhusiwa kulima nchi wakipaswa kutoa huduma na sehemu ya mavuno kwa mabwana waliopaswa kuwatetea dhidi ya maadui.

Ufalme huo ulienea katika karne zilizofuata. Mwami Ntare IV Rutaganzwa Rugamba aliyetawala tangu mwaka 1796 hadi 1850 aliweza kupanua mipaka ya ufalme wake hadi kushika sehemu kubwa ya eneo la leo.

Ukoloni

Wazungu wa kwanza waliofika walikuwa wapelelezi Waingereza Richard Burton na John Hanning Speke mnamo mwaka 1854. Walifuatwa na wengine na mwaka 1894 Mjerumani wa kwanza alipita huko aliyekuwa Oskar Baumann. Wakati ule Ujerumani uliwahi tayari kuanzisha koloni lake la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani lakini Wajerumani walichelewa kufika kaskazini-magharibi mwa maeneo waliyotazama kuwa sehemu yao.

Katika Burundi kikosi cha kwanza cha Kijerumani kilifika mnamo 1896 wakakuta ufalme wa mwami wakaridhika kumwacha katika mji mkuu Gitega mwakilishi mkazi (resident) ambaye hakuhusika na mambo ya utawala wa ndani. Wakati ule eneo lilijulikana kwa jina "Urundi". Hapa sawa na Rwanda na Bukoba Wajerumani walitumia mbinu ya eneo lindwa ingawa vyanzo vya nyakati zile zinaonyesha ya kwamba walikuwa pia na majadiliano kuingiza falme hizi za kienyeji moja kwa moja ndani ya koloni lao.

Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia Burundi pamoja na Rwanda ilikabidhiwa kwa Ubelgiji kwa niaba ya Shirikisho la Mataifa. Kimsingi Wabelgiji waliendelea na mfumo wa Wajerumani uliomwachia mtemi mamlaka kubwa.

Utawala

Burundi imegawiwa katika mikoa 17 (kwa Kifaransa province, kwa Kirundi: IProvense) inayoitwa kufuatana na miji yenye makao makuu ya utawala.

*Angalia Mikoa ya Burundi

Mikoa imegawiwa kwa wilaya inayoitwa "communes" na hii imegawiwa kwa "collines" (vilima).

Tazama pia

Tanbihi

  1. [Klohn, Wulf and Mihailo Andjelic. [http://www.fao.org/ag/AGL/AGLW/webpub/lakevic/LAKEVIC4.htm Lake Victoria: A Case in International Cooperation]. Food and Agriculture Organization of the United Nations. Retrieved on July 20, 2008]
  2. [Bermingham, Eldredge, Dick, Christopher W. and Moritz, Craig (2005). ''Tropical Rainforests: Past, Present, and Future''. Chicago, Illinois: [[University of Chicago]] Press, p. 146. ISBN 0-226-04468-8]
  3. [http://www.mongabay.com/deforestation.htm Worldwide Deforestation Rates] Food and Agriculture Organization of the U.N.: The State of the World's Forests 2003. Published on Mongabay.com. Retrieved on June 29, 2008.
  4. East, Rob (1999). ''African Antelope Database 1998''. [[Gland, Switzerland]]: [[International Union for Conservation of Nature]], p. 74. ISBN 2-8317-0477-4.

Marejeo

  • Mambo mengi ya Burundi yamepatikana kutoka CIA World Factbook 2000 na 2003 U.S. Department of State website.
  • Burundi: Ethnic Conflict and Genocide Reni Lemarchand and Lee H. Hamilton

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Serikali

Habari

Overviews

Maendelezo

Vinginevyo


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira