Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 56: Mstari 56:
[[Picha:Bujumbura 29.36607E 3.37443S.jpg|thumb|NASA photo of Burundi]]
[[Picha:Bujumbura 29.36607E 3.37443S.jpg|thumb|NASA photo of Burundi]]


'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''Urundi''') ni nchi ndogo ambayo iko karibu na e[[Nchi za Maziwa Makuu|neo la Maziwa Makubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa kaskazini, [[Tanzania]] upande wa mashariki, na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa magharibi. Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa lugha ya [[Kirundi]] ambacho ni [[lugha ya Kibantu]].
'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''Urundi''') ni nchi ndogo ambayo iko katika [[Nchi za Maziwa Makuu|eneo la Maziwa Makubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa [[kaskazini]], [[Tanzania]] upande wa [[mashariki]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa [[magharibi]].
Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa [[lugha]] ya [[Kirundi]] ambacho ni [[lugha ya Kibantu]].


== Jiografia ==
== Jiografia ==
Burundi ni kati ya nchi ndogo zaidi zilizomo barani [[Afrika]]. Wakazi milioni 10 ni wengi kulingana na eneo dogo la nchi, msongamano wa watu ni wakazi 379 kwenye kila [[km²|kilomita ya mraba]].
Burundi ni kati ya nchi ndogo zaidi zilizomo barani [[Afrika]]. Wakazi [[milioni]] 10 ni wengi kulingana na eneo dogo la nchi, [[msongamano]] wa watu ni wakazi 379 kwenye kila [[km²|kilomita ya mraba]].

Ingawa Burundi haina [[bahari]], sehemu ya [[mpaka]] wake eneo la mashariki unaishia kwenye [[mwambao]] wa [[Ziwa Tanganyika]].

Eneo lote ni [[nyanda za juu]] zenye [[kimo]] cha [[mita]] 1700 [[juu ya UB]] kwa [[wastani]]. Sehemu ya juu zaidi ni [[kilele]] cha [[mlima Heha]] chenye mita 2685 juu ya uwiano wa bahari uliopo katika [[safu]] ya milima inayopakana na [[bonde la ufa la Afrika ya Mashariki]].

Sehemu ya magharibi ya nchi ni sehemu ya [[bonde la ufa]] yenye kimo cha mita 760-850 juu ya uwiano wa bahari. Sehemu ya kusini ya bonde la ufa katika Burundi imejaa [[maji]] ya [[Ziwa Tanganyika]].


Ingawa Burundi haina bahari sehemu ya mpaka wake eneo la mashariki unaishia kwenye mwabao wa [[Ziwa Tanganyika]]. Eneo lote ni nyanda za juu zenye kimo cha mita 1700 [[juu ya UB]] kwa wastani. Sehemu ya juu ni kilele cha [[mlima Heha]] chenye mita 2685 juu ya uwiano wa bahari uliopo katika safu ya milima inayopakana na [[bonde la ufa la Afrika ya Mashariki]]. Sehemu ya magharibi ya nchi ni sehemu ya bonde la ufa kenye kimo cha mita 760 -850 juu ya uwiano wa bahari. Sehemu ya kusini ya bonde la ufa katika Burundi imejaa maji ya Ziwa Tanganyika. Upande wa mashariki ya safu la milima inayopakana bonde la ufa kuna chanzo cha [[mto Ruvyironza]] (pia: Luvironza) unaishia katika [[mto Kagera]] na hivyo huhesabiwa kati ya vyanzo vya [[Naili]].<ref>[Klohn, Wulf and Mihailo Andjelic. <nowiki>[http://www.fao.org/ag/AGL/AGLW/webpub/lakevic/LAKEVIC4.htm Lake Victoria: A Case in International Cooperation]</nowiki>. Food and Agriculture Organization of the United Nations. Retrieved on July 20, 2008]</ref>
Upande wa mashariki wa safu ya milima inayopakana na bonde la ufa kuna [[chanzo]] cha [[mto Ruvyironza]] (pia: Luvironza) unaoishia katika [[mto Kagera]] na hivyo huhesabiwa kati ya vyanzo vya mto [[Naili]].<ref>[Klohn, Wulf and Mihailo Andjelic. <nowiki>[http://www.fao.org/ag/AGL/AGLW/webpub/lakevic/LAKEVIC4.htm Lake Victoria: A Case in International Cooperation]</nowiki>. Food and Agriculture Organization of the United Nations. Retrieved on July 20, 2008]</ref>


Hali ya hewa ni ya kitropiki kuna vipindi viwili vya mvua. Joto linapungua kutokana na kimo cha nchi. Kuna mvua kwa wastani milimita 1,000 kwa mwaka.
[[Hali ya hewa]] ni ya ki[[tropiki]]: kuna vipindi viwili vya [[mvua]]. [[Joto]] linapungua kutokana na kimo cha nchi. Kuna mvua kwa wastani wa [[milimita]] 1,000 kwa [[mwaka]].


Matumizi ya ardhi ni kwa ajili ya kilimo au mifugo. Msongamano wa watu umesababisha kuenea kwa [[ukataji wa misitu]], [[mmomonyoko wa ardhi]] na kupotea kwa ardhi yenye rutba<ref><nowiki>[Bermingham, Eldredge, Dick, Christopher W. and Moritz, Craig (2005). ''Tropical Rainforests: Past, Present, and Future''. Chicago, Illinois: [[University of Chicago]] Press, p. 146. ISBN 0-226-04468-8]</nowiki></ref>. Eneo la misitu lililobaki ni kilomita cha mraba 600 pekee linalopungua kwa kasi ya asilimia 9% kwa mwaka<ref><nowiki>[http://www.mongabay.com/deforestation.htm Worldwide Deforestation Rates]</nowiki> Food and Agriculture Organization of the U.N.: The State of the World's Forests 2003. Published on Mongabay.com. Retrieved on June 29, 2008.</ref>. Kuna hifadhi mbili za taifa ambazo ni [[Hifadhi ya Taifa ya Kibira]] kwenye kaskazini-magharibi (inapakana na Msitu wa Nyungwe huko Rwanda), na [[Hifadhi ya Taifa ya Ruvubu]] upande wa kaskazni-mashariki karibu na mto Rurubu (pia Ruvubu au Ruvuvu). Hifadhi zote mbili zilianzishwa mwaka 1982 kwa shabaha ya kuhifadhi wanyama wa pori<ref><nowiki>East, Rob (1999). ''African Antelope Database 1998''. [[Gland, Switzerland]]: [[International Union for Conservation of Nature]], p. 74. ISBN 2-8317-0477-4.</nowiki></ref>.
Matumizi ya [[ardhi]] ni kwa ajili ya [[kilimo]] au [[mifugo]]. Msongamano wa watu umesababisha kuenea kwa [[ukataji wa misitu]], [[mmomonyoko wa ardhi]] na kupotea kwa ardhi yenye [[rutuba]]<ref><nowiki>[Bermingham, Eldredge, Dick, Christopher W. and Moritz, Craig (2005). ''Tropical Rainforests: Past, Present, and Future''. Chicago, Illinois: [[University of Chicago]] Press, p. 146. ISBN 0-226-04468-8]</nowiki></ref>. Eneo la [[misitu]] lililobaki ni kilomita cha mraba 600 pekee linalopungua kwa kasi ya [[asilimia]] 9 kwa mwaka<ref><nowiki>[http://www.mongabay.com/deforestation.htm Worldwide Deforestation Rates]</nowiki> Food and Agriculture Organization of the U.N.: The State of the World's Forests 2003. Published on Mongabay.com. Retrieved on June 29, 2008.</ref>.


Kuna hifadhi mbili za taifa ambazo ni [[Hifadhi ya Taifa ya Kibira]] kwenye kaskazini-magharibi (inapakana na [[Msitu wa Nyungwe]] huko Rwanda), na [[Hifadhi ya Taifa ya Ruvubu]] upande wa kaskazni-mashariki karibu na [[mto Rurubu]] (pia Ruvubu au Ruvuvu). Hifadhi zote mbili zilianzishwa mwaka [[1982]] kwa [[shabaha]] ya kuhifadhi [[wanyamapori]]<ref><nowiki>East, Rob (1999). ''African Antelope Database 1998''. [[Gland, Switzerland]]: [[International Union for Conservation of Nature]], p. 74. ISBN 2-8317-0477-4.</nowiki></ref>.
== Hali ya nchi ==
Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasa na kijamii. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina maliasili kutosheleza umma na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] na walio wachache [[Watutsi]] na [[Watwa]] na pia kuna kabila la warundi wanaojinasibu kuwa wao siyo watusi wala wahutu bali ni waswahili, Na hilo kabila la waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na wao ndo wenyeji wa jiji la Bujumbura, walimsaidia Mwanamfalme Louis Rwagasore katika harakati za kutafuta uhuru wa Burundi.


== Hali ya nchi kijamii na kisiasa ==
Kwa orodha ya Marais wa nchi tangu uhuru, angalia [[Orodha ya Marais wa Burundi|hapa]].
Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya ki[[siasa]] na ya ki[[jamii]]. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina [[maliasili]] ya kutosheleza [[umma]] na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] na walio wachache [[Watutsi]] na [[Watwa]]. Pia kuna [[kabila]] la [[Warundi]] wanaojinasibu kuwa wao sio Watutsi wala Wahutu bali ni [[Waswahili]]. Hilo kabila la Waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na ndio wenyeji wa [[jiji]] la [[Bujumbura]], waliomsaidia [[Mwanamfalme]] [[Louis Rwagasore]] katika [[harakati]] za kutafuta [[uhuru]] wa Burundi.


== Utawala ==
== Utawala ==
Burundi imegawiwa kwa mikoa 18 ([[far.]] province, [[Kirundi]]: IProvense) inayoitwa kufuatana na miji penye makao makuu ya utawala.
Burundi imegawiwa katika [[mikoa]] 18 (kwa [[Kifaransa]] province, kwa [[Kirundi]]: IProvense) inayoitwa kufuatana na miji yenye [[makao makuu]] ya [[utawala]].


<nowiki>*</nowiki>Angalia [[Mikoa ya Burundi]]
<nowiki>*</nowiki>Angalia [[Mikoa ya Burundi]]


Mikoa imegawiwa kwa wilaya inayoitwa "communes" na hii megawiwa kwa "collines" (vilima).
Mikoa imegawiwa kwa wilaya inayoitwa "communes" na hii imegawiwa kwa "collines" (vilima).


== Watu na Utamaduni ==
== Watu na Utamaduni ==
Mstari 97: Mstari 105:
== Ongezea masomo kwa wingi ==
== Ongezea masomo kwa wingi ==
* ''Burundi: Ethnic Conflict and Genocide'' Reni Lemarchand and Lee H. Hamilton
* ''Burundi: Ethnic Conflict and Genocide'' Reni Lemarchand and Lee H. Hamilton

== Mishikanizi ==
{{tafsiri}}


== Tazama pia ==
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya miji ya Burundi]]
* [[Orodha ya miji ya Burundi]]
* [[Orodha ya mikoa ya Burundi]]
* [[Orodha ya mikoa ya Burundi]]
* [[Orodha ya Marais wa Burundi]].

==Tanbihi==
{{marejeo}}


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{Commons}}
=== Serikali ===
=== Serikali ===
* {{fr}} [http://www.burundi.gov.bi/ Tovuti ya serikali ya Burundi]
* {{fr}} [http://www.burundi.gov.bi/ Tovuti ya serikali ya Burundi]
Mstari 126: Mstari 136:
* [http://dir.yahoo.com/Regional/Countries/Burundi/ Yahoo! - ''Burundi''] directory category
* [http://dir.yahoo.com/Regional/Countries/Burundi/ Yahoo! - ''Burundi''] directory category


=== Other ===
=== Vinginevyo ===
* [http://www.ligue-iteka.africa-web.org/index.php3 Burundian Human Rights Organisation "Ligue Iteka"] - with up-to-date news in English and French
* [http://www.ligue-iteka.africa-web.org/index.php3 Burundian Human Rights Organisation "Ligue Iteka"] - with up-to-date news in English and French
* [http://agathonrwasa.blogspot.com Campaign for the prosecution of FNL leader Agathon Rwasa]
* [http://agathonrwasa.blogspot.com Campaign for the prosecution of FNL leader Agathon Rwasa]
Mstari 135: Mstari 145:
* [http://www.alertnet.org/thefacts/countryprofiles/152653.htm Reuters Alertnet - Burundi] humanitarian news
* [http://www.alertnet.org/thefacts/countryprofiles/152653.htm Reuters Alertnet - Burundi] humanitarian news
* [http://www.irinnews.org/frontpage.asp?SelectRegion=Great_Lakes&SelectCountry=Burundi Updated humanitarian news] from the [[United Nations]] [[Office for the Coordination of Humanitarian Affairs]]
* [http://www.irinnews.org/frontpage.asp?SelectRegion=Great_Lakes&SelectCountry=Burundi Updated humanitarian news] from the [[United Nations]] [[Office for the Coordination of Humanitarian Affairs]]

{{Commons}}


{{Afrika}}
{{Afrika}}

Pitio la 09:42, 9 Mei 2015

Burundi
Map of Burundi
Satellite image of Burundi
NASA photo of Burundi

Jamhuri ya Burundi (iliyojulikana zamani kama Urundi) ni nchi ndogo ambayo iko katika eneo la Maziwa Makubwa ya Afrika. Burundi imepakana na Rwanda upande wa kaskazini, Tanzania upande wa mashariki, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi.

Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa lugha ya Kirundi ambacho ni lugha ya Kibantu.

Jiografia

Burundi ni kati ya nchi ndogo zaidi zilizomo barani Afrika. Wakazi milioni 10 ni wengi kulingana na eneo dogo la nchi, msongamano wa watu ni wakazi 379 kwenye kila kilomita ya mraba.

Ingawa Burundi haina bahari, sehemu ya mpaka wake eneo la mashariki unaishia kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika.

Eneo lote ni nyanda za juu zenye kimo cha mita 1700 juu ya UB kwa wastani. Sehemu ya juu zaidi ni kilele cha mlima Heha chenye mita 2685 juu ya uwiano wa bahari uliopo katika safu ya milima inayopakana na bonde la ufa la Afrika ya Mashariki.

Sehemu ya magharibi ya nchi ni sehemu ya bonde la ufa yenye kimo cha mita 760-850 juu ya uwiano wa bahari. Sehemu ya kusini ya bonde la ufa katika Burundi imejaa maji ya Ziwa Tanganyika.

Upande wa mashariki wa safu ya milima inayopakana na bonde la ufa kuna chanzo cha mto Ruvyironza (pia: Luvironza) unaoishia katika mto Kagera na hivyo huhesabiwa kati ya vyanzo vya mto Naili.[1]

Hali ya hewa ni ya kitropiki: kuna vipindi viwili vya mvua. Joto linapungua kutokana na kimo cha nchi. Kuna mvua kwa wastani wa milimita 1,000 kwa mwaka.

Matumizi ya ardhi ni kwa ajili ya kilimo au mifugo. Msongamano wa watu umesababisha kuenea kwa ukataji wa misitu, mmomonyoko wa ardhi na kupotea kwa ardhi yenye rutuba[2]. Eneo la misitu lililobaki ni kilomita cha mraba 600 pekee linalopungua kwa kasi ya asilimia 9 kwa mwaka[3].

Kuna hifadhi mbili za taifa ambazo ni Hifadhi ya Taifa ya Kibira kwenye kaskazini-magharibi (inapakana na Msitu wa Nyungwe huko Rwanda), na Hifadhi ya Taifa ya Ruvubu upande wa kaskazni-mashariki karibu na mto Rurubu (pia Ruvubu au Ruvuvu). Hifadhi zote mbili zilianzishwa mwaka 1982 kwa shabaha ya kuhifadhi wanyamapori[4].

Hali ya nchi kijamii na kisiasa

Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasa na ya kijamii. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina maliasili ya kutosheleza umma na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi Wahutu na walio wachache Watutsi na Watwa. Pia kuna kabila la Warundi wanaojinasibu kuwa wao sio Watutsi wala Wahutu bali ni Waswahili. Hilo kabila la Waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na ndio wenyeji wa jiji la Bujumbura, waliomsaidia Mwanamfalme Louis Rwagasore katika harakati za kutafuta uhuru wa Burundi.

Utawala

Burundi imegawiwa katika mikoa 18 (kwa Kifaransa province, kwa Kirundi: IProvense) inayoitwa kufuatana na miji yenye makao makuu ya utawala.

*Angalia Mikoa ya Burundi

Mikoa imegawiwa kwa wilaya inayoitwa "communes" na hii imegawiwa kwa "collines" (vilima).

Watu na Utamaduni

Utafiti

Mambo mengi ya Burundi yamepatikana kutoka CIA World Factbook 2000 na 2003 U.S. Department of State website.

Kichunguzi

Ongezea masomo kwa wingi

  • Burundi: Ethnic Conflict and Genocide Reni Lemarchand and Lee H. Hamilton

Tazama pia

Tanbihi

  1. [Klohn, Wulf and Mihailo Andjelic. [http://www.fao.org/ag/AGL/AGLW/webpub/lakevic/LAKEVIC4.htm Lake Victoria: A Case in International Cooperation]. Food and Agriculture Organization of the United Nations. Retrieved on July 20, 2008]
  2. [Bermingham, Eldredge, Dick, Christopher W. and Moritz, Craig (2005). ''Tropical Rainforests: Past, Present, and Future''. Chicago, Illinois: [[University of Chicago]] Press, p. 146. ISBN 0-226-04468-8]
  3. [http://www.mongabay.com/deforestation.htm Worldwide Deforestation Rates] Food and Agriculture Organization of the U.N.: The State of the World's Forests 2003. Published on Mongabay.com. Retrieved on June 29, 2008.
  4. East, Rob (1999). ''African Antelope Database 1998''. [[Gland, Switzerland]]: [[International Union for Conservation of Nature]], p. 74. ISBN 2-8317-0477-4.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Serikali

Habari

Overviews

Maendelezo

Vinginevyo


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira