Bernardino wa Siena : Tofauti kati ya masahihisho
d Bot: Migrating 21 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q316295 (translate me) |
+img |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Pintoricchio 019.jpg|right|thumb|250px|[[Pinturicchio]] (1486), ''Utukufu wa Mt. Bernardino da Siena'', [[Roma]], kanisa la [[Santa Maria in Aracoeli]]]] |
[[Picha:Pintoricchio 019.jpg|right|thumb|250px|[[Pinturicchio]] (1486), ''Utukufu wa Mt. Bernardino da Siena'', [[Roma]], kanisa la [[Santa Maria in Aracoeli]]]] |
||
[[Image:Bernardino - Della confessione regole 12., Adi ultimo di gennaio MCCCCLXXXXIIII - 2473056.tif|thumb|''Della confessione regole 12.'', 1494]] |
|||
'''Bernardino wa Siena''' ([[8 Septemba]] [[1380]] - [[20 Mei]] [[1444]]) alikuwa [[mtawa]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] na [[kasisi]] wa [[Kanisa Katoliki]]. |
'''Bernardino wa Siena''' ([[8 Septemba]] [[1380]] - [[20 Mei]] [[1444]]) alikuwa [[mtawa]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] na [[kasisi]] wa [[Kanisa Katoliki]]. |
Pitio la 09:51, 7 Mei 2015
Bernardino wa Siena (8 Septemba 1380 - 20 Mei 1444) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo na kasisi wa Kanisa Katoliki.
Maisha ya awali
Alizaliwa na kubatizwa Massa Marittima (Siena) tarehe 8 Septemba 1380 katika familia Albizzeschi kutoka Siena, ambako alihamia baada ya kubaki yatima, ili alelewe na ndugu zake na kusomeshwa.
Wito na utume
Akiwa na miaka 22, alijiunga na utawa, katika tawi la urekebisho wa Waobservanti, ambalo akawa nguzo yake kuu, pamoja na Yohane wa Kapestrano, Yakobo wa Marka na Alberto wa Sarteano.
Kisha akaanza utume mkubwa akihubiri kwa mafanikio katika Italia Kaskazini. Kazi yake yaliamsha katika Kanisa imani na ibada kwa Jina la Yesu na kurekebisha maadili ya wengi. Ndiye aliyesambaza kila mahali vibao vyenye kifupisho JHS (Jesus Hominum Salvator) kikiwa na msalaba juu yake na kuzungukwa na jua lenye miali 12.
Kifo
Alifariki huko L'Aquila, tarehe 20 Mei 1444.
Heshima baada ya kifo
Kutokana na sifa yake kubwa, alitangazwa mtakatifu na Papa Nikolasi V mwaka 1450. Kumbukumbu yake inaadhimishwa kila tarehe 20 Mei.
Marejeo
- public domain: Chisholm, Hugh, ed. (1911). "St. Bernardin Of Siena". Encyclopædia Britannica (11th ed.). Cambridge University Press. http://www.1911encyclopedia.org/St._Bernardin_Of_Siena. This article incorporates text from a publication now in the
- This article incorporates text from a publication now in the public domain: Herbermann, Charles, ed. (1913). "St. Bernardine of Siena". Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.
Viungo vya nje
- St. Bernardino page at Christian Iconography
- Wikipedia articles incorporating a citation from the 1911 Encyclopaedia Britannica without Wikisource reference
- Wikipedia articles incorporating text from the 1911 Encyclopædia Britannica
- Wikipedia articles incorporating text from the 1911 Encyclopædia Britannica with an article parameter
- Wikipedia articles incorporating text from the 1911 Encyclopædia Britannica with a wikisource parameter
- Articles incorporating text from the 1913 Catholic Encyclopedia with Wikisource reference
- Waliozaliwa 1380
- Waliofariki 1444
- Wafransisko
- Mapadri
- Watakatifu wa Italia