Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

Jump to navigation Jump to search
d
kutoka kwana kwenda kwamba
(nimebadili uthebitisho kwenda uthibitisho)
d (kutoka kwana kwenda kwamba)
Unaweza kuhariri kila ukurasa katika wikipedia yaani kusahihisha, kuongeza habari, kuziondoa au kuzibadilisha. Karibu kila ukurasa una kiungo kinachosema "'''''hariri'''''", ambacho kinakupatia nafasi ya kubadilisha ukurasa unaotazama. ''(Kurasa chache [[Wikipedia:Makala zinazolindwa|zinalindwa]] hazina nafasi hii.)''
 
Hiki ni kipengele muhimu sana cha Wikipedia, na wote wanaruhusiwa kuhariri. Iwapo unaongeza habari fulani kwenye makala, [[Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo)|tafadhali weka marejeo]], kwa sababu habari zisizo na uthibitisho kuna uwezekano mkubwa wa kuondolewa. Pia ni ushauri mwema kwanakwamba kutafuta majadilano kwenye ukurasa wamajadilano kama unataka kuleta mabadiliko makubwa hasa ukiona mwandishi aliyetangulia alikosea na wewe unatarajia kuleta habari za kinyume. Kujadiliana kwanza inasaidia kuepukana na [[wikipedia:Vita ya uhariri|vita ya uhariri]].
 
Nenda kwa [[Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]] na ubonyeze kiungo cha "''hariri''". Hii itafungua dirisha la kuhariria lililo na maandishi ya ukurasa huu. Weka kitu cha kujifurahisha au "Salam ulimwengu!", halafu '''Hifadhi kurasa''' na tazama nini ulichofanya! Kuwa mwangalifu kuhakikisha kwamba una hariri ukurasa wa sanduku la mchanga, na siyo maandishi ya ukurasa huu wa mwongozo.

Urambazaji