Wikipedia:Mwongozo (Kujisajili) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 32: Mstari 32:
** Maangalizi yangu - inaonyesha orodha ya makala uliyochagua kuyatazama mabadiliko yao
** Maangalizi yangu - inaonyesha orodha ya makala uliyochagua kuyatazama mabadiliko yao
** Michango yangu - inakupa orodha ya michango yote uliyofanya kwenye wikipedia
** Michango yangu - inakupa orodha ya michango yote uliyofanya kwenye wikipedia
** Toka - ukipenda kutoka kwa safari hii - baada ya kubofya hupo tena kwa jina hadi kuingia tena
** Toka - ukipenda kutoka kwa safari hii - baada ya kubofya hautakuwepo tena kwa jina hadi kuingia tena
* Kama mwandishi aliyejiandikisha utaonekana kwa watumiaji wote wengine - kwa mfano hivyo: [https://tools.wmflabs.org/guc/index.php? Bofya hapa na andika jina la mtumiaji]
* Kama mwandishi aliyejiandikisha utaonekana kwa watumiaji wote wengine - kwa mfano hivyo: [https://tools.wmflabs.org/guc/index.php? Bofya hapa na andika jina la mtumiaji]



Pitio la 11:55, 4 Mei 2015

Utangulizi   Kuhariri   Kuanzisha Makala   Muundo   Viungo vya Wikipedia   Kutaja vyanzo   Kurasa za majadiliano   Kumbuka   Kujisajili    
Bofya hapa - kona ya juu upande wa kulia
Dirisha unaloona ukibofya "Create account / Kujisajili"

Kujisajili kama mtumiaji

Kila mtu anaweza kuchangia kwenye wikipedia hata bila kujiandikisha.

1. Faida za kujisajili

kujisajili kunaleta nafasi za nyongeza na faida hasa ukichangia mara kwa mara.

  • unapata nafasi zaidi za kuhariri, kwa mfano kama ukurasa umehifadhiwa
  • unapata ukurasa wa "Maangalizi yangu" unaosaidia kutazama makala unazopenda kufuatilia.
  • unaweza kuhamisha kurasa (lakini kumbuka sheria zake)
  • Ni rahisi kutambuliwa na kuheshimiwa na wengine kwa sababu wanakujua kutokana na michango yako
  • Wengine wanaweza kuwasiliana nawe kwenye ukurasa wako wa majaidiliano

2. Kufungua akaunti

  • Hatua ya kwanza ni kubofya kwenye kona ya juu na baadaye tena kwa "kujisajili".
  • Kwa usalama wa wikipedia ni lazima kutaipu herufi zinazoonyeshwa katika dirisha dogo chini yake.
  • Sasa unaingiza jina (jinsi unavyochagua) na nywila (neno lako la siri) mara mbili.
  • anwani pepe si lazima; inasaidia kama unapenda kuwasiliana na watumiaji wengine kwa njia hiyo. Unaweza kuiacha na kuongeza baadaye.
  • Mwishoni unabofya chini "sajili akaunti"
  • Kama jina ulilochagua limeshachukuliwa na mwingine au kama umekosea kutaipu neno la siri mara mbili unaona dirisha unapaswa kuanza upya.

3. Kuingia

  • Ukiwa mwenye akaunti na jina la wikipedia unaweza kuingia kila safari unapofungua wikipedia.
  • Unabofya tena kwenye kona ya juu utapata dirisha la "Ingia".
  • Sasa unaona viungo vipya kwenye mstari wa juu kabisa kama vile
    • Jina lako - inafungua ukurasa wako wa binafsi
    • Majadiliano yangu - inafungua majadiliano kwenye ukurasa wako
    • Mapendekezo yangu - hapa unaweza kubadilisha kuonekana kwa kurasa zako
    • Maangalizi yangu - inaonyesha orodha ya makala uliyochagua kuyatazama mabadiliko yao
    • Michango yangu - inakupa orodha ya michango yote uliyofanya kwenye wikipedia
    • Toka - ukipenda kutoka kwa safari hii - baada ya kubofya hautakuwepo tena kwa jina hadi kuingia tena
  • Kama mwandishi aliyejiandikisha utaonekana kwa watumiaji wote wengine - kwa mfano hivyo: Bofya hapa na andika jina la mtumiaji