Jalidi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 55 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q4590598 (translate me)
Masahihisho
Mstari 1: Mstari 1:
'''Jalidi''' ni hali ya baridi ambako halijoto inafikia chini ya kiwango cha [[sentigredi]] 0. Hii ni kiwango ambako [[maji]] yanaanza kuganda kuwa [[barafu]].
[[Image:FrostyLeaf.jpg|thumb|right|225px|Majani yaliyofunikwa jalidi]]
'''Jalidi''' ni hali ya baridi ambako halijoto inafikia chini ya kiwango cha [[sentigredi]] 0. Hii ni kiwango ambako [[maji]] yanaanza kuganda kuwa [[barafu]]. Hivyo "jalidi" ni pia jina la [[umande]] ulioganda kutokana na baridi kali ukionekana kama [[theluji]].


Jalidi kama halijoto inaathiri viumbehai na mimea kwa sababu huwa na [[maji]] katika miili yao. Mimea inakufa katika hali ya jalidi kama maji ndani ya seli zao inaganda; maji ikiganda inapanua mjao wake hivyo kupasua seli.
Jalidi kama halijoto inaathiri viumbehai na mimea kwa sababu huwa na [[maji]] katika miili yao. Mimea inakufa katika hali ya jalidi kama maji ndani ya seli zao inaganda; maji ikiganda inapanua mjao wake hivyo kupasua seli. Mimea hii au sehemu zao zilizokufa huwa nyeusi na hali hii hutiwa jalidi pia ([[Kiing.]]: [[w:Frost#Black frost|black frost]]).


Mimea ya nchi ambako jalidi ni hali ya kawaida wakati wa majira ya baridi ina uwezo wa kukauka kabla ya majira ya jalidi kuanza. Katika mazingira ya joto mimea hufa mara nyingi kama baridi huwa kali.
Mimea ya nchi ambako jalidi ni hali ya kawaida wakati wa majira ya baridi ina uwezo wa kukauka kabla ya majira ya jalidi kuanza. Katika mazingira ya joto mimea hufa mara nyingi kama baridi huwa kali.



{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

Pitio la 22:31, 29 Aprili 2015

Jalidi ni hali ya baridi ambako halijoto inafikia chini ya kiwango cha sentigredi 0. Hii ni kiwango ambako maji yanaanza kuganda kuwa barafu.

Jalidi kama halijoto inaathiri viumbehai na mimea kwa sababu huwa na maji katika miili yao. Mimea inakufa katika hali ya jalidi kama maji ndani ya seli zao inaganda; maji ikiganda inapanua mjao wake hivyo kupasua seli. Mimea hii au sehemu zao zilizokufa huwa nyeusi na hali hii hutiwa jalidi pia (Kiing.: black frost).

Mimea ya nchi ambako jalidi ni hali ya kawaida wakati wa majira ya baridi ina uwezo wa kukauka kabla ya majira ya jalidi kuanza. Katika mazingira ya joto mimea hufa mara nyingi kama baridi huwa kali.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jalidi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.