Anime : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 90 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1107 (translate me)
d →‎Tazama pia: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ca}} (5) using AWB (10903)
Mstari 24: Mstari 24:


[[Jamii:Katuni]]
[[Jamii:Katuni]]

{{Link FA|ca}}
{{Link FA|it}}
{{Link FA|ka}}
{{Link FA|ru}}
{{Link GA|uk}}

Pitio la 21:55, 22 Aprili 2015

Wikipe-tan, muhusika wa anime.

Anime ni istilahi ya kutaja "Animation" au katuni kwa lugha ya Kijapani. Asili yake hasa ni Kiingereza, lakini katika baadhi ya sehemu, istilahi hii humaanisha "Japanese Animation", yaani, Katuni za Kijapani au Animation kwa kulete maana ileile ya Katuni za Kijapani. Lakini vilevile huko nchini Japani, anime huwa wanalitumia pia kwa matumizi ya katuni yoyote ile bila kutazama maana halisi kwa lugha yao. Makala hii inahusu katuni za Japani.

Baadhi ya katuni huchorwa kwa mkono, lakini vilevile zinaweza kutengenezwa kwa kutumia kompyuta. Kuna aina chungumzima ya anime; unaweza kupata anime kuhusu michezo, mazingaombwe, au mahaba. Hii ni baadhi ya mifano. Anime huoneshwa katika televisheni, DVD na VHS, na pia hutumiwa katika michezo ya video ya kompyuta. Pia, baadhi ya katuni za anime ni filamu, lakini zina wahusika wa hali za kikatuni na animation badala ya kuweka watu na maeneo ya kweli.

Anime hasa hutokana na kitabu cha katuni cha Kijapani kinaitwa Manga na riwaya za picha. Wakati mwingine filamu za kawaida, yaani, filamu zinazohusisha mazingira ya kweli watu, mahali, na kadhalika huwa zinatokana na mifululizo ya anime. Historia ya anime huko nchini Japani hutazamiwa hasa kuanza kunako miaka ya 1900

Baadhi ya anime

Tazama pia