Vita ya miaka 100 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 85 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q12551 (translate me)
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|es}} (4) using AWB (10903)
Mstari 19: Mstari 19:
[[Jamii:Historia ya Ufaransa]]
[[Jamii:Historia ya Ufaransa]]
[[Jamii:Historia ya Uingereza]]
[[Jamii:Historia ya Uingereza]]

{{Link FA|es}}
{{Link FA|fr}}
{{Link FA|hr}}
{{Link FA|it}}

Pitio la 21:37, 22 Aprili 2015

Ramani inaonyesha maeneo ya vita

Vita ya miaka 100 ilikuwa kipindi cha mapigano kati ya Ufaransa na Uingereza kilichodumu miaka 116 kuanzia mwaka 1337 hadi 1453.

Vita ilianza kwa sababu mfalme Charles IV wa Ufaransa aliaga dunia 1328 bila ya kumwacha mrithi, na mfalme Edward III wa Uingereza aliamini kwamba yeye mwenyewe ana haki ya kurithi cheo hiki kwa kuwa mama yake alitoka katika nasaba ya kifalme ya Kifaransa.

Wafaransa wengi walikataa na hii ilikuwa sababu ya vita.

Mwishowe Waingereza walipaswa kujiondoa katika Ufaransa mzima, hata katika maeneo makubwa waliyowahi kuyatawala chini ya mamlaka ya jina tu ya mfalme wa Ufaransa.

Viungo vya Nje