Michelangelo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5592 (translate me)
d →‎Picha: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ar}} (10) using AWB (10903)
Mstari 28: Mstari 28:
[[Jamii:Wasanifu majengo wa Italia]]
[[Jamii:Wasanifu majengo wa Italia]]
[[Jamii:Washairi wa Italia]]
[[Jamii:Washairi wa Italia]]

{{Link FA|ar}}
{{Link FA|ca}}
{{Link FA|es}}
{{Link FA|eu}}
{{Link FA|hu}}
{{Link FA|it}}
{{Link FA|ml}}
{{Link FA|pt}}
{{Link FA|sk}}
{{Link FA|sl}}

Pitio la 21:27, 22 Aprili 2015

Sanamu ya Daudi
Picha ya Hukumu ya Mwisho kwenye ukuta wa Kikanisa cha Sistina (Vatikano)

Michelangelo di Lodovico Buonarroti Simoni (6 Machi 1475 - 18 Machi 1564) alikuwa msanii nchini Italia aliye maarufu kama mchongaji, mchoraji, msanifu majengo na mshairi. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa zama ya mwamko.

Kati ya kazi zake maarufu ni sanamu ya kijana Daudi na picha za ukutani wa Kikanisa cha Sistina huko Vatikano mjini Roma alichopamba kwa hadithi na watu wa Biblia.

Kati ya kazi zake maarufu kama msanifu majengo ni hasa kuba ya Basilika la Mt. Petro kwenye Vatikano mjini Roma.

Picha

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michelangelo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.