Diego Velázquez : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 102 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q297 (translate me) |
d →Mifano ya taswira zake: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ca}} (5) using AWB (10903) |
||
Mstari 26: | Mstari 26: | ||
[[Jamii:Waliozaliwa 1599]] |
[[Jamii:Waliozaliwa 1599]] |
||
[[Jamii:Waliofariki 1660]] |
[[Jamii:Waliofariki 1660]] |
||
{{Link FA|ca}} |
|||
{{Link FA|eo}} |
|||
{{Link FA|es}} |
|||
{{Link FA|fr}} |
|||
{{Link FA|he}} |
Pitio la 21:27, 22 Aprili 2015
Diego Velázquez (Juni 1599 - 6 Agosti 1660) alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania wakati wa karne ya 17.
Alikuwa mchoraji aliyependwa na mfalme Filipo IV wa Hispania akachora watu wengi wa familia ya mfalme na waungwana waliokaa kwenye jumba la kifalme. Mweyewe alioa akazaa mabinti wawili.
Alisafiri pia hadi Italia alikopokea athira mbalimbali kwa kazi yake.
Mifano ya taswira zake
-
Juan de Pareja (1650)
-
Sehemu ya Las Meninas (Velázquez mwenyewe)
-
Mama Mzee akichoma mayai ; 1618
-
Papa Innocent X
-
Mfalme Filipo IV
-
Las Meninas, 1656
-
Mji wa Breda wajisalimisha kwa jeshi la Hispania
-
Wafalme au mamajusi wa Mashariki wamwabudu mtoto Yesu
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Diego Velázquez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |